Wanawake wa Aina hii ni hatari kaa nao mbali

Wanawake wa Aina hii ni hatari kaa nao mbali

Nimeupenda sana huu msemo
Our doubts are our traitors which often make us lose the gain we might have won by failing to attempt!Mwanmke anapenda kuambiwa napendwa mkuu hata kama anamiliki nini!Neno nakupenda linatosha kumlainisha!Acha uoga wako mkuu uwe mwanaume sio mvulana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikua naingiza Nyimbo kwenye banda 1 la stationary nilimkuta Dada m1 very beautiful.. Japo akili yangu niliwaza lazima atakua na mtu tu. Nilikua nahamisha Nyimbo kutoka kwenye simu kupeleka kwenye flashi akaniambia zisipo play utajulisha nitakupa namba ya simu .

Kidogo tu akatoa simu 1 kali Sana ilikua inaita.. Ile anapokea ikaita nyingine kali kama Ile ile tena kuliko yangu.. Nikagairi hata kuchukua namba yake ya simu.

Nikaaga akasema vipi namba ya simu nikamwambia nitakukuta naenda hapo kununua vocha nitarudi.. Ki1 hadi home..

Sent using Jamii Forums mobile app

We jamaa kama sio utoto basi akili yako haijakaa sawa!! yani mwanamke kumiliki simu tu ndo umuogope?? u can't be serious

Hukua na sababu ya kufungua uzi..
 
Mkuu Ile kitu hatari bwana sijapanga kumiliki wanawake wa Aina Ile hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mkuu acha wenge unachoogopa wewe nini hasa?maana nimekusoma naona alichotaka kufanya ni kufatilia je contract mliyofanya kama mteja wake imeenda kukufaa?

Sijaona tatizo hapo na nadhani anawajali wateja wake anajaribu kuwapa huduma ili kesho na kesho kutwa mrudi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hatari iko wapi hapo Mkuu,????

Simu mbili tu zimeku chachafya kiasi hiko, Je ungekutana na Shunie si ndio ungehama na mtaa kabisa.

Acha wenge, ukiondoka nyumbani kwenu utaelewa nini nimeongea
 
Back
Top Bottom