Wanawake wa Aina hii ni hatari kaa nao mbali

Wanawake wa Aina hii ni hatari kaa nao mbali

Huyo jamaa boya sana
Our doubts are our traitors which often make us lose the gain we might have won by failing to attempt!Mwanmke anapenda kuambiwa napendwa mkuu hata kama anamiliki nini!Neno nakupenda linatosha kumlainisha!Acha uoga wako mkuu uwe mwanaume sio mvulana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilikua naingiza Nyimbo kwenye banda 1 la stationary nilimkuta Dada m1 very beautiful.. Japo akili yangu niliwaza lazima atakua na mtu tu. Nilikua nahamisha Nyimbo kutoka kwenye simu kupeleka kwenye flashi akaniambia zisipo play utajulisha nitakupa namba ya simu .

Kidogo tu akatoa simu 1 kali Sana ilikua inaita.. Ile anapokea ikaita nyingine kali kama Ile ile tena kuliko yangu.. Nikagairi hata kuchukua namba yake ya simu.

Nikaaga akasema vipi namba ya simu nikamwambia nitakukuta naenda hapo kununua vocha nitarudi.. Ki1 hadi home..

Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto kama hao unakula mzigo na izo Simu zote anakuhonga

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukikua utajua ninacho sema

Sent using Jamii Forums mobile app

Unampa metch ya kibabe hadi anaenda kukusemea kwa mama ake......
 
Back
Top Bottom