Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Yani unataka kusema mi ni msahaulifu kiasi hicho..Yani naweza kuficha kitu na nikasahau kilipo?...Nyosha maelezo banaJamani mpenzi unifiche wewe alafu uniulize hilo swali?
Yani unataka kusema mi ni msahaulifu kiasi hicho..Yani naweza kuficha kitu na nikasahau kilipo?...Nyosha maelezo banaJamani mpenzi unifiche wewe alafu uniulize hilo swali?
9.Wanawake ni wazito kwenye direction..Ukimwambia( kwa gafla) ageuke kulia anaweza kugeuka kushoto
Duuh!!! haya bana..Hiyo tabia uiache ukiingia ndoani..Daddy itabidi akufunde kabla ya ndoa tehI guess nina tatizo hili, me ni msiri mnoo. Siwezagi kusema matatizo yangu (unless naumwa labda), most of times yakinikaba naliaaa + ntaandika jinsi navyojisikia (nina note books nyingii). Nikimaliza hapo huyooo Nashukuru then nasmile kutoka rohoni, Nipo hivyo
Hahaha kwa nini daddy, imekuwa ikinisaidia sana tangu nipate akili. Otherwise sijui ningekuwajeDuuh!!! haya bana..Hiyo tabia uiache ukiingia ndoani..Daddy itabidi akufunde kabla ya ndoa teh
Twende tukayamalize chumbani mpenzi.Yani unataka kusema mi ni msahaulifu kiasi hicho..Yani naweza kuficha kitu na nikasahau kilipo?...Nyosha maelezo bana
Parefu hapo mpaka nijipange umetoka kununua sumsang galaxy hujapumua inaingia invoice ya vitz!Na jinsi unavyomkubali, mbona utakua tayari haya kukopa pesa umnunulie yeye ame relax tu!
Teh teh..Usiri mwingi ndoani unamfanya husband awe na doubts nyingi..Na mwingine ataona hauthamini uwepo wake au haumwamini.Hahaha kwa nini daddy, imekuwa ikinisaidia sana tangu nipate akili. Otherwise sijui ningekuwaje
Atleast hapo unaeleweka..Haya najaTwende tukayamalize chumbani mpenzi.
Noop daddy kama ni issue ya kuongea si naongea tu. Me naongelea mabalaa yangu nayokutana nayo sasa hivi, napendaga kusolve issue zangu mwenyewe zaidi ili nisije kuwa na regrets baadaye coz nimeamua mwenyewe kufanya kitu fulani kwa utashi wanguTeh teh..Usiri mwingi ndoani unamfanya husband awe na doubts nyingi..Na mwingine ataona hauthamini uwepo wake au haumwamini.
hiyo maths umeipigaje hadi ukapata hivyo mkuuLooh kwa hiyo wanaume watano wenye PhD ni sawa na wanawake wote Africa
wewe hujaelewa yeye hapa hazungumzi kila mwanamke yoyote atakua anaweza kudanganya kumzidi mwanaume yoyote, au wanawake wakidanganya huwa hawajulikani, no... yeye anamaanisha kwa average wanawake wanaweza kudanganya kuliko wanaumeIt's not what I'm trying to say.
It's what I'm saying.
Look at number 5, for instance.
Lying is no respecter of sex.
Anybody can be caught lying and anybody can get away with it.
No gender has an edge when it comes to it.
There are many gullible souls in both sexes.
So the idea that women are better liars or that men don't know how to lie is a falsehood.
wewe ni kama mimi dada, dah sometimes unakuta nina mzigo wa dunia yote kichwani ila sikimbilii kumwambia mtu, na solve (saa nyingine kwa kutumia njia za ajabu na za hatari) na ambo yanaisha tangia.... tangia nikiwa mdogo life langu lipo based on secrecy and self- reliance, huwezi amini mimi mtu mzima sasa hivi ila sijawahi kabisa kukopa hela maishaniNoop daddy kama ni issue ya kuongea si naongea tu. Me naongelea mabalaa yangu nayokutana nayo sasa hivi, napendaga kusolve issue zangu mwenyewe zaidi ili nisije kuwa na regrets baadaye coz nimeamua mwenyewe kufanya kitu fulani kwa utashi wangu
wewe hujaelewa yeye hapa hazungumzi kila mwanamke yoyote atakua anaweza kudanganya kumzidi mwanaume yoyote, au wanawake wakidanganya huwa hawajulikani, no... yeye anamaanisha kwa average wanawake wanaweza kudanganya kuliko wanaume
Anataka akuombe HELA!Hapa kanipigia simu kunakitu kinamsumbua ataniambia ngoja nmsubir aniambie
Daah nyie watu huwa mnaishi na sisi kwa machale mwee. Yani mtu hajasema kinachomsumbua basi ushaconclude anataka kukupiga kizinga, jamani khaaaAnataka akuombe HELA!
mojawapo kati ya njia za kufanya research ni observation, ukifanya observation kwa muda unaotosha unapata majibu correct kabisa ya research..Hiyo average imepatikanaje?
Ni ya kukisia au...?
mojawapo kati ya njia za kufanya research ni observation, ukifanya observation kwa muda unaotosha unapata majibu correct kabisa ya research..
jaribu hata ku Google utajua