Wanawake Versis Wanaume

Wanawake Versis Wanaume

Inawaza ikawa ndio sababu. Ila kumbuka wanaume tuna vichwa viwili sijui wewe unazungumzia kipi teh teh (joking)
kichwa kikubwa mkuu ichi kingine kikiinama ni whr iz papuchi
 
Here we go again.

You call those assumptions 'facts'?

It clear you don't have a clue on what 'facts' are.

Otherwise you wouldn't conflate the two.
 
Here we go again.

You call those assumptions 'facts'?

It clear you don't have a clue on what 'facts' are.

Otherwise you wouldn't conflate the two.
So what are you trying to say...
 
So what are you trying to say...

It's not what I'm trying to say.

It's what I'm saying.

Look at number 5, for instance.

Lying is no respecter of sex.

Anybody can be caught lying and anybody can get away with it.

No gender has an edge when it comes to it.

There are many gullible souls in both sexes.

So the idea that women are better liars or that men don't know how to lie is a falsehood.
 
Noted, and what about the rest..
 
Mhhh hapo kwenye kudanganya naona kuna walakin maana wadada wa siku izi bila ya kumdanganya itakuchukua mda kumpata ili umpate kirahisi lazma useme uongo na ni wepesi kuukubali uongo kuliko ukweli.
 
Mhhh hapo kwenye kudanganya naona kuna walakin maana wadada wa siku izi bila ya kumdanganya itakuchukua mda kumpata ili umpate kirahisi lazma useme uongo na ni wepesi kuukubali uongo kuliko ukweli.

Mbona hata wao wadada hudanganya tena sana tu.

Halafu wakati mwingine unaweza hata ukawachezea akili kwa kujifanya unaamini kila kitu wanachokwambia ilhali kiukweli ni ama huamini kabisa unachokisikia au unakiamini kiasi huku ukikitilia mashaka.

Ndo maana hapo juu nimesema kwamba hakuna aliyemzidi mwenzake hapo.

Mwisho wa siku inakuja ni kuwa kati ya mtu na mtu.

Hebu fikiria tu hili kwa mfano, wewe unakutana na mdada wa tuseme miaka 32 halafu anakwambia eti kawahi kuwa na mtu mmoja tu maishani mwake.

Sasa, wewe unaweza ukamkubalia tu bila kumwonyesha ishara yoyote kuwa hukinunui anachokiuza na yeye akapata taswira ya kwamba wewe umeamini mazima kile alichokwambia wakati ukweli wa mambo ni kwamba umemkubalia tu kwa muonekano wa nje lakini ndani moyoni na kichwani unatilia shaka kama kweli alichokwambia ni cha ukweli.

Yeye atabaki na picha ya kwamba kakuweza maana umeamini kile alichokwambia. Sasa hapo nani mjanja? Wewe ambaye kiukweli kweli huamini ulichokisikia au yeye anayeamini kwamba wewe umeamini yote aliyokwambia [hata kama si ya ukweli]?
 
Back
Top Bottom