Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Duh!yaani kirahisi rahisi anakwambia mwaka huu nataka uninunulie vitz anakuwa ameisha utua mzigo!
Uje na maelezo ya ulipokuwaHao "wanaume" ulowaongelea hapo ni wa sayari gani?
Unakubaliana na mwandishi?Endelea kupotea hivyo hivyo, na sikumiss ng'odoooooo. Wanaume wa sayari ya "Dunia"
Ngoja nirudie kusoma tena vizuri tehUnakubaliana na mwandishi?
ok..anza na namba 6Ngoja nirudie kusoma tena vizuri teh
Kuna ka ukweli ukweli ujue,ok..anza na namba 6
Teh teh..Haya matatizo yako uwa unamweleza nani..Mbona mi siambiwi?Kuna ka ukweli ukweli ujue,
Hahahaaaaaa!!! Jamani doughter missed you too.Endelea kupotea hivyo hivyo, na sikumiss ng'odoooooo. Wanaume wa sayari ya "Dunia"
Wacha we!!9.Wanawake ni wazito kwenye direction..Ukimwambia( kwa gafla) ageuke kulia anaweza kugeuka kushoto
Jamani mpenzi unifiche wewe alafu uniulize hilo swali?Uje na maelezo ya ulipokuwa
I guess nina tatizo hili, me ni msiri mnoo. Siwezagi kusema matatizo yangu (unless naumwa labda), most of times yakinikaba naliaaa + ntaandika jinsi navyojisikia (nina note books nyingii). Nikimaliza hapo huyooo Nashukuru then nasmile kutoka rohoni, Nipo hivyoTeh teh..Haya matatizo yako uwa unamweleza nani..Mbona mi siambiwi?
TakiiiiiiHahahaaaaaa!!! Jamani doughter missed you too.
[emoji12] [emoji8] [emoji8]Takiiiiii
Mwanamume mmoja mwenye elimu ya kidato cha nne ni sawa na wanawake mia wenye phd.....
Mvulana mmoja mwenye elimu ya msingi ni sawa na wanawake mia wenye degree....
Mwanaume mmoja asiyekuwa na hata elimu ya msingi ni sawa na wanawake mia wenye elimu ya kidato cha nne.....
Hayo umesema ndugu....hahahahaaaaaa....Looh kwa hiyo wanaume watano wenye PhD ni sawa na wanawake wote Africa