Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,929
- 3,985
Aibu kubwa sana jamani dah.
Vaeni vizuri jamani mnamkosea hata aliyewaumba.Ishhhh we vepe
Vaeni vizuri jamani mnamkosea hata aliyewaumba.Ishhhh we vepe
Mwanamme rijali hawezi fanya uliyosema labda huko kwenu.we macho yako Yanawaza sex mda wote----- mbona nyie mnabana sana mapaja Nakuchomekea mkanda kwa sana na kutembea mnakatika kiuno wala hatuon tabu.
Hakika mkuu.Ifike mahala wanawake mmuogope muumba wenu.Mi langu rohoni leo nalitua,ukweli nakereka na kujiskia aibu kwa hili.Yani unakuta mdada au hata mwanamke mtu mzima anafanya makusudi kuingia kwenye shughuli za watu za heshima zinazohitaji mavazi ya kujisitir angalau basi nguo iishie magotini na kuficha sehemu nyeti na kama matiti na mapaja...
Ye utakuta kaingia na kigauni utadhani cha mtoto wa shule ya msingi miziwa yote ipo nje nje..Mipaja yake nusu na robo ipo nje,sasa hapo hata akiangusha kitu sidhan kama ataweza okota!
Sasa hebu fikiria watu wanafanya shughuli ya kumuaga binti yao (send off) au harusi ukumbini..kule mbele kuna wazaz na wazee wetu wengine wa heshima,upande mwingne wamekaa wakwe..
Muda wa kucheza mziki unaingia pale mbele kwa mbwembwe zote shost unajimwaga ukiwa nusu uchi na kutuaibisha wanawake wenzio hadi tunaona aibu,mi nlishuhudia zaidi ya sherehe moja..
Tena mdada anawapa mgongo wazaz wa yule shogake anayeagwa uchezaji wenyewe wa kujibinua ka' mbuzi anetolewa kafara,huku nyuma mipaja yote nje bado sentimeta moja matako yaonekane,mama mzaz akainamisha kichwa pale kwa aibu ya anachoona.
Mi nnachoomba angalia dressing code yako kwa eneo husika,sio unavaa mradi kiende.Utavaaje kigauni cha klabu kwenye wedding reception zetu za kitanzania? halafu ukiangalia nyomi lote walovivaa unakuta ni ww au kuna mwingne pemben ndo mlovaa kiaibu tu..
Hata kama ni kwenda na fashion zingatien mahali mnakoenda hata kama hakuna wazaz au wazee wenu bado waliopo watawachukulia kivingine tu!
Dada wahurumie wanawake wenzio ni aibu kwa jamii.Yawezekana unawakera zaidi ya robo tatu ya hadhira uliyopo ila wanashindwa tu kukueleza.inakuhusu nini fanya yako mjini
Nyie muumba kawaruhusu mvae milege?Vaeni vizuri jamani mnamkosea hata aliyewaumba.
Underskirt hivi bado zipo siku hizi?Gauni ndefu lakini imepasuliwa yaani hata underskirt hajavaa ni kyupi tu hapo, mpasuko akitembea utaona all over
wajipa moyo tuu mkuu kama huna pesa usitegemee chochote hata ushuzi wao.Hao dawa yao ni kuwaomba papuchi na kuzigegeda ladha tofauti kadri uwezavyo.
Aithee!kama huyu hapo.......
![]()
Acha dhambi mkuu,
dhambi tenaAcha dhambi mkuu,
Hahaha...eti mwanamke ameletwa kwa jukumu gani? Na ni hilo tu?mleta mada naona wewe utakuwa hujabarikiwa assets za maana....mwanamke hapa duniani ameletwa kwa jukumu la kugegedwa...sasa lazima avutie wanaume ili agegedwe.
sasa atazaa bila kugegedwa? wao wenyewe bila kugegedwa hawajioni kama wanawake kamiliHahaha...eti mwanamke ameletwa kwa jukumu gani? Na ni hilo tu?
Nimejikuta nacheka mwenyewe...!!!
Sasa mrembo hii mada si inahusu mipasuo na mini za KE?Nyie muumba kawaruhusu mvae milege?
Sasa ni nini hiyo hapo [emoji115]dhambi tena
Leo umejitahidi kusema kweli,lakini siku zote zingine ulikuwa unafagilia,au mmeo amekuwa mkali nini?Mi langu rohoni leo nalitua,ukweli nakereka na kujiskia aibu kwa hili.Yani unakuta mdada au hata mwanamke mtu mzima anafanya makusudi kuingia kwenye shughuli za watu za heshima zinazohitaji mavazi ya kujisitir angalau basi nguo iishie magotini na kuficha sehemu nyeti na kama matiti na mapaja...
Ye utakuta kaingia na kigauni utadhani cha mtoto wa shule ya msingi miziwa yote ipo nje nje..Mipaja yake nusu na robo ipo nje,sasa hapo hata akiangusha kitu sidhan kama ataweza okota!
Sasa hebu fikiria watu wanafanya shughuli ya kumuaga binti yao (send off) au harusi ukumbini..kule mbele kuna wazaz na wazee wetu wengine wa heshima,upande mwingne wamekaa wakwe..
Muda wa kucheza mziki unaingia pale mbele kwa mbwembwe zote shost unajimwaga ukiwa nusu uchi na kutuaibisha wanawake wenzio hadi tunaona aibu,mi nlishuhudia zaidi ya sherehe moja..
Tena mdada anawapa mgongo wazaz wa yule shogake anayeagwa uchezaji wenyewe wa kujibinua ka' mbuzi anetolewa kafara,huku nyuma mipaja yote nje bado sentimeta moja matako yaonekane,mama mzaz akainamisha kichwa pale kwa aibu ya anachoona.
Mi nnachoomba angalia dressing code yako kwa eneo husika,sio unavaa mradi kiende.Utavaaje kigauni cha klabu kwenye wedding reception zetu za kitanzania? halafu ukiangalia nyomi lote walovivaa unakuta ni ww au kuna mwingne pemben ndo mlovaa kiaibu tu..
Hata kama ni kwenda na fashion zingatien mahali mnakoenda hata kama hakuna wazaz au wazee wenu bado waliopo watawachukulia kivingine tu!
Nikikwepa kuangalia nagongwa na boda boda.Mkuu kwani unalazimishwa kuwaangalia?
Hii ni hatari,anaweza kushikwa tumbo la kuhara au kipindupindu kwa ghafla,sasa si itakuwa fedheha?![]()
mbona amependeza tuu...si umemaanisha huyu ama