Wanawake: Vaeni nguo zenye kuficha maungo yenu

Wanawake: Vaeni nguo zenye kuficha maungo yenu

dfb3b485fe4f37784353a07093bd551c.jpg
ndo ivo au [emoji126] [emoji108]
Aloooooh! umelala vzr ujue
 
mabinti wa sasa akili zao sifuri,tulia na binti zako uwafundishe maadili mema usijisumbue na hao matahaira wa barabarani wasiojua kujisitiri utaumia kichwa bure

Tatizo hata hao mabinti wako wanaenda kukutana na hao usiowataka. Wanajikuta wako tofauti na wenzako na hivyo baadae kujiona hawaendi na wakati. Baade wanakuwa wanavaa kwa kujificha.
 
Sasa naona watu mnaenda kwingine kabisa. Kwa maisha haya magumu hivi, kila kona VAT bado kuna watu wanachungulia vyupi vya wenyewe?? Kwa malimbikizo gani ya mshahara hata ukatumbue vyupi??
Anzisheni kitu ingine ila when am stressed hata nkisikia akisinyora kando ya njia sijisikii kwa kweli. Hebu tujifunze ku mind our business.
 
Back
Top Bottom