Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,883
miss u brother! ahahaa sijui yanamuhusu niniDaaah...pole mkuu. Huyu kijana ni mchokozi eh? Tema mate nimchape...ha ha
miss u brother! ahahaa sijui yanamuhusu niniDaaah...pole mkuu. Huyu kijana ni mchokozi eh? Tema mate nimchape...ha ha
Sijamention mapaja kama sehemu nyet.But we unadhan ni vema binti kutembea mapaja nje kwenye kadamnasi?Mleta uzi umenena vizuri ila 'mapaja ' siyo sehemu nyeti.
Labda useme chengine
[emoji3] Wewe tu.Kama wamejaaliwa acha tu wavae... wengine ndo tuna enjoy hivyo!!!
We me au keMe napenda ujue?!
Naona umeamua kutuonyesha mkeo mkuu[emoji39]![]()
mbona amependeza tuu...si umemaanisha huyu ama
HAAAHAAAA...Mimi bado sijaoa mkuuu ila nikioa nitaoa kama huyuNaona umeamua kutuonyesha mkeo mkuu[emoji39]
kama huyu hapo.......Binafsi hujisikia faraja sana nikiwatizama ndani ya viwaro hivyo especially kama wamejaliwa yalee maumbo yaliyokaa kama chupa ya cocacola ya zamani na wezere laini.Asikuambie mtu wavae hivyo hivyo tu,walimbwende wa dizaini hiyo ni a good sight for sore eyes!
Wanavaa nguo za kutianagenye harusini? hatareeeeeeeeeeewatu wanachanganya yani kwamba kwa kuwa ni tukio la usiku basi zile nguo za kwenda outing na mmewe/boyfriend usiku yeye ndo anavaa kwenye harusi/send off. lazima kuwe na tofauti jamani!!!