Wanawake: Usalama wa vifaa vya kutengenezea kucha

Wanawake: Usalama wa vifaa vya kutengenezea kucha

Habari za leo mabibi na mabwana.

Huwa najiuliza kuwa, vile vifaa ambavyo vinatumiwa na watengeneza/wasafisha kucha vina usalama kiasi gani? Maanake huwa vinatumiwa na watu wengi na sijawahi kuona kama wana sterilise (chemsha) machine.

Karibuni kwa michango na mawazo.

Wasalaam,

CL.
Tufungue kijisalon kwa kutumia disposebo (disposables)
 
Habari za leo
mabibi na mabwana.

Huwa najiuliza kuwa, vile vifaa ambavyo vinatumiwa na
watengeneza/wasafisha kucha vina usalama kiasi gani? Maanake huwa
vinatumiwa na watu wengi na sijawahi kuona kama wana sterilise (chemsha)
machine.

Karibuni kwa michango na mawazo.

Wasalaam,

CL.

my dia nenda na vya kwako seti 3000 Tu
 
mmmh ila kama nlikuona makoroboi.... wengine tukiona kucha tu tushapenda, na gari tunaonga

Tena asikudanganye, anavyopenda kwenda pale kwa ras acha kabisa

Et Honey Faith si huwa ubataka Ras ndio akutengeneze eeh!??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom