Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

On top of that " the beautiful one not yet born "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo mimim nashindwa kuyaelewa..... hivi kuna tafafiti zozote zile zilizofanywa na kuonyesha kuna tataizo kubwa la wanawake kutopata wachumba/waume? Na kama suala ni mwanamke kufanya uchaguzi wa nani anamfaa na nani hamfai nadhani pia si tatatizo. Ni bora mwanamke/mwanaume akaishi bila mke/mume kuliko kuliingia janga kisa tu kupata ndoa.
 
Duuuh huu uzi unawavunja moyo sana.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Safari moja huanzisha nyingine akikwambia anakupenda muitikie

Kuna wadada wako so beautiful wanalalamika. Mtu anatoka anaenda mpaka sokoni na kurudi, hata Mwanamme wa kumuuliza uhali gani hapati Siye tunaofanyisha maombi tunayajua haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii takwimu ni matango pori.
Etii asilimia 10 ni ndugu wa damu!!!
Asilimia 10 ya wanakitongoji au shina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…