Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchakavu huo katika lipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia tena takwimu zako sio sahihi kwa idadi ya watu saizi,uwiano wa mwanaume na mwanamke unakadiliwa kuwa 1:1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do your research well.
Kama mwanamke ni wa shule sana unakuta anafika 30 ndio ana miaka miwili kazini. Na mwingine ana plans zake kabla ya kuingia kny ndoa.
Halafu wengine wana prefer partnership kuliko commitment kubwa ya ndoa.
Patnership ni kujipa moyo tu! ila kwenye jamii ndoa ni muhimu tena muhimu sana hasa kwa mwanamke, Elimu na mali havina heshima kuliko ndoa, kwenye jamii ya kiafrika hasa kwa mwanamke
 
Kumbe wanaume ni wengi kuliko wanawake [emoji1][emoji1]
kwenye hiyo Link ya Population Clock teremka chini jana hiyo nafasi kwa Nchi ya Tanzania
Wanawake wanatuzidi wapo wengi kidoooogo
Tanzania Population clock (live)
59,982,299
Current population
29,970,742
Current male population (50.0%)
30,011,557
Current female population (50.0%)
463,163
Births this year
 
Uchakavu wa ki maumbile, mwili unaanza kufifia, pia heshima yako kama mwanamke haipo... Unaonekana muhuni tu! Kumbuka mwanamke anae heshimika ni MAMA au MWENYE BIKRA na MKE WA MTU


OVA
Wapo baadhi ya wanawake wapo kwenye ndoa na hawana heshima kwa jamii
 
Sasa ngoja nkupe siri, hayo ni matamanio tu... ikifika kipindi cha kuoa anaangalia mwanamke ambaye hatamsumbua, makalio,weupe hizo ni nyongeza
Sasa Mungu alivyo wa ajabu hiko kipindi ndio anakosa mtu sasa
 
Patnership ni kujipa moyo tu! ila kwenye jamii ndoa ni muhimu tena muhimu sana hasa kwa mwanamke, Elimu na mali havina heshima kuliko ndoa, kwenye jamii ya kiafrika hasa kwa mwanamke
Sasa mwanamke anajioa? Heshima ni kwa wote mwanaume na mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…