Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,250
Reaction score
24,085
Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba.

Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na pale na zingine nikweli nilikuwa na zijua sema sisi wanaume huwa hatuna mambo kama hayo kuyaongea kwa wake zetu.

Story zilinoga hatimae zikaangukia kwa mama wa makamo fulani almost miaka40 hivi

Huyu mama ni mwenyekiti wa WAWATA PAROKIANI KWETU hivyo anaheshima sana na anaheshimika ni mtu wa dini.

Mme wake ni mtu wa utelezi na pombe mara moja moja huwa tunakutana tunazibua vyupa na kupiga story kadhaa.

Huyu mama ana rafiki yake wa kike ni kibonge kiaina na mara zote alikuwa anakuja kwa mama huyu mtu wa dini watapiga story wee kisha ataenda zake kwa kusindikizana.

Huyu kibonge bana kumbe kashapitiwa na mme wa rafiki (mama wa dini) na baada ya kuliwa ikawa siri kama siri zingine na urafiki ukaendelea kama kawaida maana mama wa dini hakujua.

Huyu bonge alikuja kuleta umbea baada kuona mme wa mama wa dini ametembea na jirani yake bonge ikamuuma sana.

Hivyo kesho yake akenda kumuhabarisha mama wa dini alichokishuhudia.....

Pasipo kuuliza usalama kwanza huyu bonge akaanza kuropoka akiwambia rafiki yake alichoona na mbaya zaidi akasema jirani yule ni mwathirika wa HIV.

Kumbe jamaa alikuwemo ndani bana kalewa amejifanya kalala fofofo chibonge alianza kusimulia mara paaap jamaa huyu hapa.

Jamaa akamwambia chibonge wewe nilikuacha kwa sababu uchi wako una nuka tena mke wangu huyu rafiki yako alinianza mwenyewe na nimeenda nae mara1 tu nikamuacha anauchi unanuka na ana maji mengi wala sio mtamu.

Wife anasema ile kesi ikawa ngumu ni sawa na maji kulowana. Sasa mama wa dini ikabidi dini aiweke pembeni kwanza wakaanza kutukakanana na huyu rafiki yake kibonge ....kesi ikaenda hadi kwa Baba paroko bana.

Ukumbuke huyu chibonge nae ni mke wa mtu na familia zote mbili zinafahamiana...

Hadi sasa chibonge na mme wake hawaishi pamoja maana mme wa mama wa Dini alicheza kama Pele!!

Akasambaratisha urafiki wa kinafiki na kumuanika yule Malaya hadharani na mme wake kusikia mke wake ana uchi mchafu unanuka akaona kadhalilishwa mara 100 nae akachomoa betery.

Kifupi maji yalilowana vibaya mnoo.

Huwa nikimpa muda wa kumsikiliza wife aongee huwa napata habari nyingi sana za kijamii na mara zote huwa ni kweli.
 
Jifunze jambo Kijana, Kama mke yupo kwenye cycle ya watu wanaonekana ni wadini, na anajua wanayofanya ni swala la Mda tu ukiangalia kwa makini, utagundua Kuna kijana mtiifu wa Parokia anakula mke wako na anamhudumia P2 now and then, na on top of that pengine mke wako Hana uhakika mtoto wa 2 ni wako.

UJINGA MKUBWA WANAUME TUNAO;

Mke kuwa na ka kikundi ka chafu, na kuamini yeye ni malaika na ni unique hawezi kuwa mchafu, Hata kidogo, wake zetu wanafanya hayo hayo wanayofanya wenzao kwenye cycle waliopo.

Kagua vizuri huyo Mlevi pengine kapitia na shemeji yetu!
 
Stori za mtaani ni tamu sana ukisimuliwa na mkeo.

Vijana wa kataa ndoa hapa hawatii kituo😀

Yani kwa story ya huyu Jamaa kama una akili kawapa point nyingi sana kataa ndoa! Kwa hiyo mke wa jamaa yeye ni Malaika wakati wa Mama wenzako wanatoka na Mabwana wao kwa wao na jamaa anasikiliza story mpaka Mwisho na kutuletea sisi akifikiri ni wajinga kama yeye?
 
Hahaha swala la kuchapiwa ni Issue nyingine halihusiani na kutokuoa!!
 
Jifunze jambo Kijana, Kama mke yupo kwenye cycle ya watu wanaonekana ni wadini, na anajua wanayofanya ni swala la Mda tu ukiangalia kwa makini, utagundua Kuna kijana mtiifu wa Parokia anakula mke wako na anamhudumia P2 now and then, na on top of that pengine mke wako Hana uhakika mtoto wa 2 ni wako.

UJINGA MKUBWA WANAUME TUNAO;

Mke kuwa na ka kikundi ka chafu, na kuamini yeye ni malaika na ni unique hawezi kuwa mchafu, Hata kidogo, wake zetu wanafanya hayo hayo wanayofanya wenzao kwenye cycle waliopo.

Kagua vizuri huyo Mlevi pengine kapitia na shemeji yetu!
Pointless au naweza kusema ulicho andika ni Mavi ya nyoka.

Kwenye circle ya watu wa dini hayumo...unachopaswa kuelewa wewe hujaumbwa kuwa mwanamke ndio maana tunatofautiana maanamke hata akiwa hayupo kwenye circle yoyote habar hizo atasikia kwenye misaba au kusanyiko lolote lile ili hali sisi wanaume tunabishana kuhusu simba na yanga au chadema na ccm wao wanaambiana hayo mambo hivyo atake asitake atasikia tu na kwenye kusanyiko lolote hawezi kukaa mwenyewe never.

Kuhusu kuchapiwa ni mjinga tu ndo anaweza kukubali au kukataa kama anachapiwa cha msingi siku ukifikiwa fanya maamzi kwani ndo inaanzia kwako?
 
Kuoa ni muhimu sana na ni lazima, ila ukioa jaribu sana kusikiliza waliokutangualia and mostly single Wanaume, epuka sana wao kukushauri usioe, lakini jifunze tabia za wanawake kupitia machungu waliyopitia!
Mkuu kula mwanaume anajua namna ya kuishi na mke wake na kumuongoza ubabe sana hauna afya kwenye ndoa na hausaidii.

Huwa tunaambiwa mambo mengi inabidi tu usikilize wee na kisha kusema nimekuelewa na yanaishia hpo ....
 
Sasa hizo habari zimekusaidia nini?

Umbea tuu,

Badala mpeani habari za uwekezaji kiuchumi, nyie mnapeana habari za fulani kamla fulani.
 
Mkuu kula mwanaume anajua namna ya kuishi na mke wake na kumuongoza ubabe sana hauna afya kwenye ndoa na hausaidii.

Huwa tunaambiwa mambo mengi inabidi tu usikilize wee na kisha kusema nimekuelewa na yanaishia hpo ....

Sijasema ubabe, ndugu nimeishi na mwanamke 15 years, sijawahi mtia Kofi au kuwa na serious issue, alikuwa Bank teller na sikuwahi kujua mshahara wake, mpaka Leo najiuliza where did I go wrong?

Sogea, utakuja kuwaelewa wanawake
 
Alikuwa unamuona anafurahi siku ukirudi mapema na hamna mtoto hapo NI chap kitandani gazeti la wiki au siku habari Moto Moto...ukipita mtaani unawaona wote wako uchi...
 
Back
Top Bottom