Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja wanakula.Mtabakia kula jasho la kuku
Kweli mwaka huu kama kuna Mahusiano yatavunjika basi hayakupangwa yawe..manake kama ni shauri kwa wamama wenzio kwa kweli dadaangu Natalia umezitoa..duh...Ngoja na mimi nirudie ''Enyi wanawake msiwe kama CHURA''....
mimi na dhani hii mada inatuhusu watanzania maana watanzania tumebaki kulalamika maliasili zetu maliasili zetu wageni wanachota wanaondoka sisi tunaendelea kusema tanzanite yetu wajanja wanachukua tu,Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja wanakula.Mtabakia kula jasho la kuku
mimi na dhani hii mada inatuhusu watanzania maana watanzania tumebaki kulalamika maliasili zetu maliasili zetu wageni wanachota wanaondoka sisi tunaendelea kusema tanzanite yetu wajanja wanachukua tu,
Kweli umenena..Hii ihamie jukwaa la siasamimi na dhani hii mada inatuhusu watanzania maana watanzania tumebaki kulalamika maliasili zetu maliasili zetu wageni wanachota wanaondoka sisi tunaendelea kusema tanzanite yetu wajanja wanachukua tu,
Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja wanakula.Mtabakia kula jasho la kuku
Nitume hewani.

USA hutumi pesa hewanishhhh. Muache nimuibie wanafunzi.wa twisheni, anajidai sana huyo teacher. Kwanza muulize mshahara keshalipwa ama krismas juu ya mti?
:behindsofa:.......... Pamoja na nasaha zako .... lakini wanaume wanaopendeka ni asilimia ndogo sana.... hata umpe nini...... hawaridhiki..... utashanga mwanamume ana mke mzuri lakini huyo demu aliyeopoa huku vichochoroni .... anatisha... kweli tupendeni lakini........ walio wengi haturidhiki... wanaume walio wengi... nasema wengi kwa kuwa ni zaidi ya 50% wakisafiri kikazi nje ya mji wanaoishi... kuchombeza ni kama kazi....
:bathbaby:
eep: