Wanawake tusiwe Kama Chura .chura yupo Kwenye maji tu watu wanachota

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,325
2,000
Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja wanakula.Mtabakia kula jasho la kuku
 
SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
1,750
Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja wanakula.Mtabakia kula jasho la kuku

Kweli mwaka huu kama kuna Mahusiano yatavunjika basi hayakupangwa yawe..manake kama ni shauri kwa wamama wenzio kwa kweli dadaangu Natalia umezitoa..duh...Ngoja na mimi nirudie ''Enyi wanawake msiwe kama CHURA''....
 
Last edited by a moderator:

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
28,911
2,000
Kweli mwaka huu kama kuna Mahusiano yatavunjika basi hayakupangwa yawe..manake kama ni shauri kwa wamama wenzio kwa kweli dadaangu Natalia umezitoa..duh...Ngoja na mimi nirudie ''Enyi wanawake msiwe kama CHURA''....

Mhh...
 
Last edited by a moderator:

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,256
2,000
Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja wanakula.Mtabakia kula jasho la kuku
mimi na dhani hii mada inatuhusu watanzania maana watanzania tumebaki kulalamika maliasili zetu maliasili zetu wageni wanachota wanaondoka sisi tunaendelea kusema tanzanite yetu wajanja wanachukua tu,
 
Naongelea mapenzi ,mambo ya maliasili ni ya department zingine.
 
Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,929
2,000
mimi na dhani hii mada inatuhusu watanzania maana watanzania tumebaki kulalamika maliasili zetu maliasili zetu wageni wanachota wanaondoka sisi tunaendelea kusema tanzanite yetu wajanja wanachukua tu,
Kweli umenena..Hii ihamie jukwaa la siasa
 
Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
2,000
.. Mwanamke kuwa kama chura anajitakia mwenyewe,kama mtu hutaki kujiwekea msimamo wa'iam my own boss...with my body' baaaasi...mwanaume atau endesha mwili wako kama pia..atau control kisawasawa..
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
49,633
2,000
Daaah muke ya Muzungu, mtoto ya fisadi naona umetoa ushauri mzuri natumaini wata ufata!

Kweli kulalamika si suluhu kabisa!
Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja wanakula.Mtabakia kula jasho la kuku
 
pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,592
1,500
Watu wanachota maji tuu,na Chura analia kutwa maji yangu maji yangu .wapendeni Waume zenu kwa nguvu na akili na mapenzi yote.lasivyo mtakuwa mnapiga mayowe mtaani mume wangu mume wangu na wajanja wanakula.Mtabakia kula jasho la kuku

:behindsofa:.......... Pamoja na nasaha zako .... lakini wanaume wanaopendeka ni asilimia ndogo sana.... hata umpe nini...... hawaridhiki..... utashanga mwanamume ana mke mzuri lakini huyo demu aliyeopoa huku vichochoroni .... anatisha... kweli tupendeni lakini........ walio wengi haturidhiki... wanaume walio wengi... nasema wengi kwa kuwa ni zaidi ya 50% wakisafiri kikazi nje ya mji wanaoishi... kuchombeza ni kama kazi....
:bathbaby:
:peep:
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
49,633
2,000
Mwl snowhite hana tatizo hata mshahara usipo ingia nina uhakika zile dolali za Natalia lazima azichukue labda Natalia aingie mitini.

shhhh. Muache nimuibie wanafunzi.wa twisheni, anajidai sana huyo teacher. Kwanza muulize mshahara keshalipwa ama krismas juu ya mti?
 
Last edited by a moderator:

Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
2,000
:behindsofa:.......... Pamoja na nasaha zako .... lakini wanaume wanaopendeka ni asilimia ndogo sana.... hata umpe nini...... hawaridhiki..... utashanga mwanamume ana mke mzuri lakini huyo demu aliyeopoa huku vichochoroni .... anatisha... kweli tupendeni lakini........ walio wengi haturidhiki... wanaume walio wengi... nasema wengi kwa kuwa ni zaidi ya 50% wakisafiri kikazi nje ya mji wanaoishi... kuchombeza ni kama kazi....
:bathbaby:
:peep:

Ndo kusema unaupigia mstari msemo wa 'wako akiwa kwako akitoka nje si wako.... ama?'.. Otherwise,kwa mtazamo wangu hao wanaotoka nje whether kasafir au akiwa hapa hapa town lazma atakuwa anamiss kionjo flan kwa mwenza wake..au kaji-commit kwenye mahusiano wakat hajamaliza 'kulitembeza'..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom