Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Ila dada zangu mnahaha nyinyi, kwa kweli mnawafuatisha watu maarufu kuishi maisha yenu ungewafahamu hao wakina nani nani sijui ni wakina nani na wapo kufanya nini usingewaita masocialite wala watu wakuwafuatilia maishani. Just be yourself na kama huwezi basi ukazane kweli kuwafuatilia maana wana mengi ya kuwaweka mbioni mkihaha [HASHTAG]#NoOffense[/HASHTAG]Hawa watu maarufu kumbenni waongo hivi wanatangaza majani ya chai yanasaidia tumbo liwe flat kumbe wala hata sio,Rob kardashian kawaumbua baada ya kuweka wazi baby mama wake chyna alifanyiwa upasuaji baada ya kujifungua ili shepu iwe nzuri na tumbo limbioni kuvutia,halaf wakiwa insta wanatuonyesha majani,,watu wamejua sasa hayo majani yenu sasa hatutaki mtuache tulivyo,,
Mtu anakunywa chai ya hayo majani na anapiga squat za kutosha lakin tumbo haliwi kama la chyna au Kim,kumbe wanatudanganyaa wee
Tunamshukuru Rob kwa kutusaidia kujua
Mtu anajinyima kula anashindia mboga mboga mpaka unakuwa unanukia majani mabichi tu mwili wote lakin tumbo lipo pale pale Mungu anawaona washushe hizo bei za surgery na sie tuwe na maumbo kama ya kina chyna aisee,, Miss Natafuta @jestikila Evelyn Salt mkuje hapa
Duh! Vyote hivyo [emoji15] [emoji15]Ndio mpunguze kula hovyo...
Utakuta mwanamke anakula kwa wakati mmoja michemsho,mayai ya kuchemsha,mahindi na ndimu,coca cola,juice,chipsi kisha anashushia Balimi.
Hahahahaha naona vera kaongeza unene wa papa..!!Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
Ha ha ha kumbe ji papa nalo diliHahahahaha naona vera kaongeza unene wa papa..!!
Kumbe gym wanaenda kupiga picha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watafanya migongo yetu ipinde kwa mazoezi, huko insta kila mtu busy na squat ili kishundu kiongeze...
Kumbe wao ni kwa bwana doctor tu, Kim Kardashian, black cchyna, Amber rose, Vera sidika, chagga bebe na wengine Mungu anawaona
TushapunguzaNdio mpunguze kula hovyo...
Utakuta mwanamke anakula kwa wakati mmoja michemsho,mayai ya kuchemsha,mahindi na ndimu,coca cola,juice,chipsi kisha anashushia Balimi.
Nyie ndio mnatufanya tunahaha na kututukania matumbo yetuIla dada zangu mnahaha nyinyi, kwa kweli mnawafuatisha watu maarufu kuishi maisha yenu ungewafahamu hao wakina nani nani sijui ni wakina nani na wapo kufanya nini usingewaita masocialite wala watu wakuwafuatilia maishani. Just be yourself na kama huwezi basi ukazane kweli kuwafuatilia maana wana mengi ya kuwaweka mbioni mkihaha [HASHTAG]#NoOffense[/HASHTAG]
ha haaa haaaa mbona u ashangaa au we sio muumini wa hayo majani?hee kumbe!
Kuna majani wanakuwa wanatangaza kuwa yanaondoa mafuta tumboni na linakuwa flat,,,kumbe hakuna kitu wao wanaenda kufanyiwa upasuaji ,gym wanaenda piga picha tuJamani lakini mbona hao hawajawahi kuficha kua hua wanafanya surgery?
Kama ulianguka kwa kumwamini celebrity kwa hayo maneno ni kwamba kosa ni lako, hata ukigugo kidogo tu utakutana na articles chungu mbovu zikizungumzia surgeries zao.
Mie kwa kweli ni mwoga sana kutumia dawa dawa au vitu kwa ajili mara kupunguza unene mara kuongeza makalio, mara kupunguza matiti au kuongeza hapana. Najikubaliha haaa haaaa mbona u ashangaa au we sio muumini wa hayo majani?
Kwa hiyo mix lazima tumbo litutumke,na hapo hujaweka supu na chapati 2 kila asubuhi,utasikia anasema "yaani mi nashangaa hili tumbo linatoka wapi,yaani jinsi ninavyojitahidi kutokula hovyo hovyo hata sielewi"...Ndio mpunguze kula hovyo...
Utakuta mwanamke anakula kwa wakati mmoja michemsho,mayai ya kuchemsha,mahindi na ndimu,coca cola,juice,chipsi kisha anashushia Balimi.