Wanawake tuongeze kujiheshimu...

Wanawake tuongeze kujiheshimu...

Ma Mshuza sio kwamba haelewi hayo yote, ni mtu wa maadili yake anatumia tafsida, hamjaona licha ya kufikisha ujumbe tata lakini amejitahidi kutotumia maneno makali?

Good to see you bro The Boss
"Tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya Corona"



Uboho ni kitu kingine kabisa
Muwe mnaangalia namna ya kuandika.

Uboho ni bone marrow, Ile tissue iliyo ndani ya mifupa ikitengeneza Chembe hai za damu nyekundu (red blood cells)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shosti tumia akili...unadhani ningeandika ub double oo ungesoma hilo neno kama lilivyo?uboho najua unapatikana ndani ya mifupa.ila nmeandika hivyo ibaki kama ilivyo.

Uboho ni kitu kingine kabisa
Muwe mnaangalia namna ya kuandika.
 
The Monk wanaume smart kama wewe wamebaki wachache sana.... Wewe umeelewa. Kwa akili yao hao hawajui kuwa najua UboHo ni nini. Ila siwezi andika neno lenyewe kwa sababu ya maadili.



Ma Mshuza sio kwamba haelewi hayo yote, ni mtu wa maadili yake anatumia tafsida, hamjaona licha ya kufikisha ujumbe tata lakini amejitahidi kutotumia maneno makali?

Good to see you bro The Boss
"Tuendelee kuchukua tahadhari dhidi ya Corona"
 
Sasa mwanaume ana gar anampeleka ofcn ana mrudishaa huyoo mwanamke anaanzaje kukataa cha msing tu angakumbuka condom, sikuiz kuna zile show zinapigwa alaf kila mtu anaendelea na harakat zake
 
Hivi mtoa mada mashavu kuachana na kunymbulika inatokana na kufanya ngono sana au maumbile? Jibu lako litanisaidia sana maana kuna kamchepuko kangu kana mashavu yameachama kama utumbo wa ng'ombe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kityuuuuuh khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom