Wanawake tuongeze kujiheshimu...

Wanawake tuongeze kujiheshimu...

Hata kama ni mali yako, kiungo chako si sababu mtu kakufahamu siku mbili tatu anaomba mfanye mapenzi unampa na mauno yote bila hata woga unadhani hiyo itakuongezea credit?

Wanaume wenye akili washagundua kuwa sisi wanawake wengine ni minungayembe, Wanagonga akikuzalisha anakimbia. We jiachie tu akunanii vizuri.

Mimi nasema haya sababu nimeshangazwa na mtu mmoja ofisini analaumu wanaume bure tu kwa upumbavu wake. Kapewa lift mara mbili ndani ya week kaachia miguu jamaaa hakufanya ajizi. Kamchapa nao na kumbe siku hiyo hiyo na mimba ikabaki ndani

Miezi mitatu anakuja kulalamika wanaume wabaya, hivi hata huyo mwanaume si atakuwa na wasiwasi na hiyo mimba? Unadhani mwanaume mwenye akili ukiwahi mpa penzi atafikiria yeye ndo ana bahati sana kwako? Ushawapa wangapi?

Kha! Wenzangu tuache kuwatafutia lawama wakaka wa watu, ndo maana miaka hii kila kona single mothers, sisi enzi zetu haikuwa hivyo. Bi dada unamwagwa leo keshokutwa upo na Abdallah. Akikutosa unamkamata John, naye akikubwaga unahamia kwa Hamisi, hiyo K au mpira watu wanapasiana?

Halafu kutwa kucha madawa ili zibane, zibane nini sasa wakati mashavu yoote yameachama na kutawanyika sababu ya misukosuko? Tuacheni kulaumu wanaume tujitunze na tutunze mashine zetu wanawake.

Mimi nishasema kama mtachukia sijali wala nini.
Tunza yako ya wenzio waachie wenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake siku hizi tunajirahisi sana kwa kupenda mteremko. Lakini wengine wanasema onyesha hisia zako mapema km wampenda. Na wengne mzungushe zungushe kwanza. Na wote wanaweza wakafanikiwa tu. Haya mambo bhn hata hayatabiriki. Vyvyte unaweza ukafanya na yakatiki au kubomoka. Cha msingi ni kumuomba Mungu tu atubariki na kutuokoa kwenye changamoto.

The Most Winner
Tuombe Mpango ea Muumba ufanye kazi kwetu haya mambo hayatabitiki.

pujo
 
Hata kama ni mali yako, kiungo chako si sababu mtu kakufahamu siku mbili tatu anaomba mfanye mapenzi unampa na mauno yote bila hata woga unadhani hiyo itakuongezea credit?

Wanaume wenye akili washagundua kuwa sisi wanawake wengine ni minungayembe, Wanagonga akikuzalisha anakimbia. We jiachie tu akunanii vizuri.

Mimi nasema haya sababu nimeshangazwa na mtu mmoja ofisini analaumu wanaume bure tu kwa upumbavu wake. Kapewa lift mara mbili ndani ya week kaachia miguu jamaaa hakufanya ajizi. Kamchapa nao na kumbe siku hiyo hiyo na mimba ikabaki ndani

Miezi mitatu anakuja kulalamika wanaume wabaya, hivi hata huyo mwanaume si atakuwa na wasiwasi na hiyo mimba? Unadhani mwanaume mwenye akili ukiwahi mpa penzi atafikiria yeye ndo ana bahati sana kwako? Ushawapa wangapi?

Kha! Wenzangu tuache kuwatafutia lawama wakaka wa watu, ndo maana miaka hii kila kona single mothers, sisi enzi zetu haikuwa hivyo. Bi dada unamwagwa leo keshokutwa upo na Abdallah. Akikutosa unamkamata John, naye akikubwaga unahamia kwa Hamisi, hiyo K au mpira watu wanapasiana?

Halafu kutwa kucha madawa ili zibane, zibane nini sasa wakati mashavu yoote yameachama na kutawanyika sababu ya misukosuko? Tuacheni kulaumu wanaume tujitunze na tutunze mashine zetu wanawake.

Mimi nishasema kama mtachukia sijali wala nini.
Halafu kutwa kucha madawa ili zibane, zibane nini sasa wakati mashavu yoote yameachama na kutawanyika sababu ya misukosuko?

Aiseeeeee!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom