Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,080
- 93,006
Mlichopewa na Mungu kumnyima mwanaume ni dhambiMkuu tumepewa bure..☺☺😂
Na mnapishana Kama hamjuani vile[emoji23]Sasa mwanaume ana gar anampeleka ofcn ana mrudishaa huyoo mwanamke anaanzaje kukataa cha msing tu angakumbuka condom, sikuiz kuna zile show zinapigwa alaf kila mtu anaendelea na harakat zake
Tusipangiane matumizi provided hatujawahi kuja kwako kuomba support yoyote ile [emoji41]
ngoja wajeHivi mtoa mada mashavu kuachana na kunymbulika inatokana na kufanya ngono sana au maumbile? Jibu lako litanisaidia sana maana kuna kamchepuko kangu kana mashavu yameachama kama utumbo wa ng'ombe
Sio leo tu, siku zote za maisha yako zitakuwa nzuriEwaaa hapo sawa si umeona sasa, umenifanya ijumaa yangu ya tarehe 08/5/2020 SAA 09:01 asubuh iendelee kua nzuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
The Monk wanaume smart kama wewe wamebaki wachache sana.... Wewe umeelewa. Kwa akili yao hao hawajui kuwa najua UboHo ni nini. Ila siwezi andika neno lenyewe kwa sababu ya maadili.