Niamini tu hivyo hivyo.Hapo kwenye kweri kweri umenidanganya 😅
Wote niliowahi kuwa nao kimahusiano ya kimapenzi nilikuwa nawapa sijui ubahiliUmewapa wangapi Hadi sasa
Unaonekana pesa mbele sanaNimekufanyia nini Bro
Hapa inahitajika Ambulance ya emergency !!!!Acha nisubili kuzeeka tu.. mapenzi ya ujanani yanaweza kukuchanganya tu 😁View attachment 3638114
Labda ma-simp. Siwezi kumfanyia yote hayo mwanamke labda awe nimemkuta bikra ambaye ni submissive, asiye na ego ya usomi au ujuaji na asiwe hawa feminist shwaini.Tunafanyiwa na wanaoweza 😅
Nimefurahi kusikia hivyo 🥰Nafikiria 😜
Mchumba wangu yuko wapi😞Hapana baby
Sema WallahAnakaribia kutoka kazini.
Halafu ana macho mazuri 🙆