Wanawake tunapenda hivi...

Wanawake tunapenda hivi...

Mwanamke akiwa maskini hawezi kusema yeye maskini ila atasema kwa sababu ana bwana maskini au anadate mwanaume broke.

Mngekuwa financially well off msingekuwa kila siku kutaka kuhudumiwa na wanaume financially.
Mwanamke hata kama ana hela anapenda kuhudumiwa
 
Back
Top Bottom