Hili naliamini😅😅😅😅 Tunabadilika kulingana na wakati
Hongera sana mtu kwao banaNdio najidekea zangu mimi 😜
Tena ananiletea chumbani mimi nimelala zangu😜
Nadeka siku tatu tu nasepa
duuh je ambao hatuwezi kuigiza hivySio mbaya ila haya yote sisi mamen faida yetu ni nini. Coz sio siri kuna wanawake hawapendeki, hawaheshimiki, hawadhaminiki nk hata ufanyeje. Ila sio mbaya sana mimi labda niwape wanaume siri, mfano mpo wote labda harusini au msibani wewe mpange kabisa mkeo ufanye hili ili wajue unampenda na unamdhamini. Mda wa kwenda home hakikisha yeye ndo anatangulia kwenda home mkifika palipo na watu wengi mpe hug ya kumwambia bye ila mnongoneze kuwa tumia f10 tu, then toa wallet yako mpe hata 50k au laki but make sure umempanga na kwa tukio hilo tu umempa heshma na upendo na kila kitu kilichotajwa kwenye uzi then baadae sasa ndio wewe uende kivyako uombe chenji yako mcheke mlale. Yaani hapo ucheze na hela kama zile za goli la mama. Acha nimalizie glasi mbili kwanza.
Kwamba Kila kitu kizuri mnataka mfanyiwe nyie Ili mnawiri harafu mwanaume achakae si ndio? 😂😂😂😂Wanawake tunapenda Kupendwa, Kuheshimiwa, Kuthaminiwa, kusikilizwa,Kusifiwa, kuhudumiwa na mambo mengine mazuri kama hayo.
![]()
Kuhusu kupendwa
tunapenda upendo unaoonekana kwa vitendo, hususan uvumilivu wakati wa shida, na upendo wa kweli huondoa hofu na tunakuwa huru zaidi Na mwanamke aliye huru ndiye anang’ara zaidi.Halafu anakuwa sio mchoyo😜.
Kuheshimiwa mbele za watu na hata faraghani.Maoni yetu yawe na uzito. Tukiheshimiwa, ujasiri wetu unaongezeka. Na mwanamke mwenye ujasiri anajenga familia vizuri.Usitegemee kuheshimiwa kama hujisheshimu na huheshimu wengine.
Kuthaminiwa na kuwekwa kipaumbele hususan mbele ya watu. Kuchaguliwa sisi kwanza. Juhudi zetu pia ziheshimiwe
Tukijua sisi ni kipaumbele, tunafurahi na tunafanya bora zaidi bila kulalamika hususan kitandani.
![]()
Kusikilizwa. Mwanamke wakati mwingine anapitia changamoto nyingi huenda Kila mtu anaweza kumlaumu lakini ni vizuri akasikilizwa kwa upole na kueleweka kisha akapewa ushauri.Tukisikilizwa, mioyo yetu inatulia. Na moyo uliotulia unazaa mawazo mazuri.
Tunapenda kusifiwa mfano "Umejitahidi." "Umevaa vizuri." "Nimekuona umependeza” umepamba nyumba vizuri.
Sifa ndogo inaamsha Ile hali ya kuendelea kupenda na kuvumilia. Inatupa nguvu ya kujitahidi zaidi kila siku.
Kukumbatiwa. Tunapenda sana kwa sababu kunaponya uchovu wa siku nzima na kutoa faraja kwa mwanamke na kumfanya ajisikie vizuri.Kukumbatiwa kunatoa uhakika wa kuonyesha kuwa "nipo nawe". Hapo ndipo tunapopata nguvu ya kupambana tena.
Tunapenda kuhudumiwa.Mfano kununuliwa zawadi ndogo ndogo na hata kubwa. Mfano Nguo za ndani,Saa,Gauni,Viatu, Kupelekwa sehemu nzuri kupumzika, Pesa kidogo ya matumizi na vitu kama hivo. Tunapenda pia kuulizwa "Umekula?" "Umelala?" "Nikusaidie nini?
Huduma ni lugha ya upendo. Inatufanya tujisikie salama na kutunzwa.
![]()
Tunapenda ushirikiano,Mfano Katika malezi ya watoto kupeleka mtoto clinic,shuleni na kusaidiana kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Mwanamume anaposhuka na kushiriki, mzigo unapungua. Na mwanamke asiyechoka ndiye anang’ara na kunawiri vizuri.
Kuhusu pesa si kipaumbele sana kwa mwanamke kama kutakuwa na upendo, heshima, ushirikiano na uwajibikaji.
Mpe mwanamke upendo, heshima, kipaumbele na ushirikiano. Utashangaa jinsi atakavyonawiri na katika nyumba yako upendo na amani vitatawala.
Uko busy na simu hata humsadii kazi za hapo nyumbani. Unaenjoy tu bed and breakfast 🤣🤣🤣Shukrani.
Ananisema balaa.
Yani hizo simu zenu hizo 😅😅😅.
Sasa Choice huu ni wivu 😅Kwamba Kila kitu kizuri mnataka mfanyiwe nyie Ili mnawiri harafu mwanaume achakae si ndio? 😂😂😂😂
Mimi nitafanya nachojiskia,yaani nikunawikishe Ili wagonge wengine wakati Mimi Nina stress za maisha hata hamu ya kutiana Sina? Sifanyi huo ujinga
Hizo sifa ulizo sema ni sahihi na ndiyo sababu zinazo mfanya mwanamke asiwe kiongozi mzuri hata siku moja ..mfano ukiwa na watu wawili mmoja anapenda sana kupewa hela au kutendewa wema ..na mtu wa pili anapenda sana kutoa hela na kuwatendea mema watu ...basi hapo anaye weza kuja kuwa kiongozi mzuri ni huyo wa pili siyo wa kwanza.Wanawake tunapenda Kupendwa, Kuheshimiwa, Kuthaminiwa, kusikilizwa,Kusifiwa, kuhudumiwa na mambo mengine mazuri kama hayo.
![]()
Kuhusu kupendwa
tunapenda upendo unaoonekana kwa vitendo, hususan uvumilivu wakati wa shida, na upendo wa kweli huondoa hofu na tunakuwa huru zaidi Na mwanamke aliye huru ndiye anang’ara zaidi.Halafu anakuwa sio mchoyo😜.
Kuheshimiwa mbele za watu na hata faraghani.Maoni yetu yawe na uzito. Tukiheshimiwa, ujasiri wetu unaongezeka. Na mwanamke mwenye ujasiri anajenga familia vizuri.Usitegemee kuheshimiwa kama hujisheshimu na huheshimu wengine.
Kuthaminiwa na kuwekwa kipaumbele hususan mbele ya watu. Kuchaguliwa sisi kwanza. Juhudi zetu pia ziheshimiwe
Tukijua sisi ni kipaumbele, tunafurahi na tunafanya bora zaidi bila kulalamika hususan kitandani.
![]()
Kusikilizwa. Mwanamke wakati mwingine anapitia changamoto nyingi huenda Kila mtu anaweza kumlaumu lakini ni vizuri akasikilizwa kwa upole na kueleweka kisha akapewa ushauri.Tukisikilizwa, mioyo yetu inatulia. Na moyo uliotulia unazaa mawazo mazuri.
Tunapenda kusifiwa mfano "Umejitahidi." "Umevaa vizuri." "Nimekuona umependeza” umepamba nyumba vizuri.
Sifa ndogo inaamsha Ile hali ya kuendelea kupenda na kuvumilia. Inatupa nguvu ya kujitahidi zaidi kila siku.
Kukumbatiwa. Tunapenda sana kwa sababu kunaponya uchovu wa siku nzima na kutoa faraja kwa mwanamke na kumfanya ajisikie vizuri.Kukumbatiwa kunatoa uhakika wa kuonyesha kuwa "nipo nawe". Hapo ndipo tunapopata nguvu ya kupambana tena.
Tunapenda kuhudumiwa.Mfano kununuliwa zawadi ndogo ndogo na hata kubwa. Mfano Nguo za ndani,Saa,Gauni,Viatu, Kupelekwa sehemu nzuri kupumzika, Pesa kidogo ya matumizi na vitu kama hivo. Tunapenda pia kuulizwa "Umekula?" "Umelala?" "Nikusaidie nini?
Huduma ni lugha ya upendo. Inatufanya tujisikie salama na kutunzwa.
![]()
Tunapenda ushirikiano,Mfano Katika malezi ya watoto kupeleka mtoto clinic,shuleni na kusaidiana kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Mwanamume anaposhuka na kushiriki, mzigo unapungua. Na mwanamke asiyechoka ndiye anang’ara na kunawiri vizuri.
Kuhusu pesa si kipaumbele sana kwa mwanamke kama kutakuwa na upendo, heshima, ushirikiano na uwajibikaji.
Mpe mwanamke upendo, heshima, kipaumbele na ushirikiano. Utashangaa jinsi atakavyonawiri na katika nyumba yako upendo na amani vitatawala.
SawaWanawake tunapenda Kupendwa, Kuheshimiwa, Kuthaminiwa, kusikilizwa,Kusifiwa, kuhudumiwa na mambo mengine mazuri kama hayo.

Iko hivo 😊Hizo sifa ulizo sema ni sahihi na ndiyo sababu zinazo mfanya mwanamke asiwe kiongozi mzuri hata siku moja ..mfano ukiwa na watu wawili mmoja anapenda sana kupewa hela au kutendewa wema ..na mtu wa pili anapenda sana kutoa hela na kuwatendea mema watu ...basi hapo anaye weza kuja kuwa kiongozi mzuri ni huyo wa pili siyo wa kwanza.
Huwa nawashangaa sana wanaume ambao unakuta anahangaika amechakaa harafu kazi anayofanya ni michosho tupu na Haina hadhi lakini mwanamke wake Yuko safi ,ndio kusema pesa zote anatumia kupendezesha mwanamke wake ,huyo Huwa namuita mpumbavu.Sasa Choice huu ni wivu 😅
Tuache tupendeze na tuvutie jamani
Nyuzi zake nyingi anaizungumzia pesa iwe direct au indirect lakini wazo kuu litakuwa pesaMara pesa sio kipaumbele, ghafla pesa ndo kila kitu 😂
Wanawake 🙌
OkayWanawake tunapenda Kupendwa, Kuheshimiwa, Kuthaminiwa, kusikilizwa,Kusifiwa, kuhudumiwa na mambo mengine mazuri kama hayo.
![]()
Kuhusu kupendwa
tunapenda upendo unaoonekana kwa vitendo, hususan uvumilivu wakati wa shida, na upendo wa kweli huondoa hofu na tunakuwa huru zaidi Na mwanamke aliye huru ndiye anang’ara zaidi.Halafu anakuwa sio mchoyo😜.
Kuheshimiwa mbele za watu na hata faraghani.Maoni yetu yawe na uzito. Tukiheshimiwa, ujasiri wetu unaongezeka. Na mwanamke mwenye ujasiri anajenga familia vizuri.Usitegemee kuheshimiwa kama hujisheshimu na huheshimu wengine.
Kuthaminiwa na kuwekwa kipaumbele hususan mbele ya watu. Kuchaguliwa sisi kwanza. Juhudi zetu pia ziheshimiwe
Tukijua sisi ni kipaumbele, tunafurahi na tunafanya bora zaidi bila kulalamika hususan kitandani.
![]()
Kusikilizwa. Mwanamke wakati mwingine anapitia changamoto nyingi huenda Kila mtu anaweza kumlaumu lakini ni vizuri akasikilizwa kwa upole na kueleweka kisha akapewa ushauri.Tukisikilizwa, mioyo yetu inatulia. Na moyo uliotulia unazaa mawazo mazuri.
Tunapenda kusifiwa mfano "Umejitahidi." "Umevaa vizuri." "Nimekuona umependeza” umepamba nyumba vizuri.
Sifa ndogo inaamsha Ile hali ya kuendelea kupenda na kuvumilia. Inatupa nguvu ya kujitahidi zaidi kila siku.
Kukumbatiwa. Tunapenda sana kwa sababu kunaponya uchovu wa siku nzima na kutoa faraja kwa mwanamke na kumfanya ajisikie vizuri.Kukumbatiwa kunatoa uhakika wa kuonyesha kuwa "nipo nawe". Hapo ndipo tunapopata nguvu ya kupambana tena.
Tunapenda kuhudumiwa.Mfano kununuliwa zawadi ndogo ndogo na hata kubwa. Mfano Nguo za ndani,Saa,Gauni,Viatu, Kupelekwa sehemu nzuri kupumzika, Pesa kidogo ya matumizi na vitu kama hivo. Tunapenda pia kuulizwa "Umekula?" "Umelala?" "Nikusaidie nini?
Huduma ni lugha ya upendo. Inatufanya tujisikie salama na kutunzwa.
![]()
Tunapenda ushirikiano,Mfano Katika malezi ya watoto kupeleka mtoto clinic,shuleni na kusaidiana kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Mwanamume anaposhuka na kushiriki, mzigo unapungua. Na mwanamke asiyechoka ndiye anang’ara na kunawiri vizuri.
Kuhusu pesa si kipaumbele sana kwa mwanamke kama kutakuwa na upendo, heshima, ushirikiano na uwajibikaji.
Mpe mwanamke upendo, heshima, kipaumbele na ushirikiano. Utashangaa jinsi atakavyonawiri na katika nyumba yako upendo na amani vitatawala.
kama huwezi wewe fanya kweliduuh je ambao hatuwezi kuigiza hivy
Binti wa kitangaNimechoka mimi😅