Wanawake tunachoangalia........kwenye first date......

Mmmmh......Preta utanifundisha kuvaa mkanda unao_match na viatu....!

Tehe tehe,kumbe ni janga la wengi hili,hata waliooa pia wamo humo........kwakweli wengi hatujui kuvaa.......unakuta mtu mkanda wa mweupe alafu viatu brown au kanda jeusi viatu brown,hapo saa ingine na saa ina mkanda wa ngozi rangi nyingine pia utafikiri mkrisimasi
 
 
Kachumbari
 
Preta hivyo vigezo kumi vyote nimefuzu
 
Hehehe ivi unawajua wale wanaume wengine ambao wakitaka na demu walipe wana kaujanja haka.

Kama bili ni 20,000 atatoa 15,000 alafu atajidai anamwambia demu una elfu5 ya karibu hapo. Hahahahaha..
 
 
....mh....hivi huwa mnajua na sisi siku ya kwanza tunawatazamaje...?@Preta..cjaona kigezo kigumu hapo
 
Umeshawahi kuangalia "Coming to America", kwa vigezo vyako hivyo ungekosa Prince. Mke mwema haangalii rangi ya mkanda na viatu wala pesa inakaa wapi, lol!
 


Aaaah Aaaah!!! Siku hizi wanaangalia future na pesa. Na ujue ukishakuwa na pesa, hayo yote uliyotaja hapo juu, yanamezwa na pesa.
 
Ukileta mbwembwe na mi nakuonyeshea mbwembwe zaidi yako............Yani nitoke Karatu na vumbi jekundu uje unikatalie njiani wakati hata maji yenyewe huku si masafi......Nyie ndo maana watu wanatumia 4wheel drive hata kwenye tambarare............Ni mwendo wa bounced cheque na huwa nawapenda wadada wenye mashauzi na nina akaunti maalum kwa ajili yao ya Cheque........I dont give cash utaeleza matatizo yako yote na sikatai mwisho wa siku unakula cheque amabayo itabounce utazunguka na cheque yako mpaka kwapa litoe harufu na kuliwa ushaliwa
 
bebii na wewe......hiyo inamaanisha nilikuacha hoi....mwenyewe uliblow mapigo......yani ulibaki katika halijojo......
halafu usiniulize tena....TUKI wakiniona wanatanitaka..........
..oooh kumbe mambo mengine vipi..?huwa unakimbiaga Kili Marathoni..hata zile za Km 5 "Run for Fun". Preta ukuje moshi
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakuwa na Laki hadi Laki 2 na siweki kwenye wallet, kwanza wallet yenyewe sina kabisa na siihitaji, tokea siku walinichomolea wallet kwenye gari alafu kikaenda kila kitu, pesa na vitambulisho vyote... sitaki kusikia kitu wallet. Alafu laki 2 haiingii kwenye wallet, unaweka kwenye wallet labda elfu 50 tu.. laki 2 na kuendelea ikiingia huko basi hiyo ni poschi na sio wallet tena.
 
mbona kuna wanawake hawapendi wanaume wanao nukia, sio wote lakini, ila kama ndo hivyo hapati mtu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…