Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
We jamaa, acha mazarau, umekaa na mwanaume halafu unataka yeye ndo aku re fill your glass?, maadili gani hayo, mimi nakumwaga on the spot-Uelewa wa mambo kutokana na maongezi
-uwezo wa kunisikiliza
-they way anavyoji-carry
-taking care kama kurefill my glass
-showing interest in the things l do
Etc
Hehehehe wenzako wananogewa wanakuwa wafadhili wa kidume. Chezeya mapigo wewe?/ila habari ndio hiyo........
he he he.....hujawahi kushika hata laki unasema unatubadilisha.......nikikukamata wewe.......
Kama huu ndio utaratibu lazima nije Yaeda chini, Kufanyiwa hii exam nikiclear huko sijapata hata F moja na nikirudi hapa Dar watakomaje? kwanza nitakuwa siwaangalii kabisaaa wanitafute wao a ha ha ha haaa Yaeda chini si mchezo
Mmmmh......Preta utanifundisha kuvaa mkanda unao_match na viatu....!
Tatizo sio zangu kujipulizia nitakuwa nasahau mpaka nimalize hizo exams nitakuwa labda nimejipulizia mara mbili tu. Yaeda huko na vumbi itabidi kila siku niwe naamka asubuhi kublash viatu Oh mamaaa kazi kweli kweli. Na wakaka tuwe tunaangalia nini kwa wadada??? Nawaachia wanafani hiitena uje ukiwa umejipulizia Gucci Guilty........sio unijie na kicobra chako kile..........
Tatizo sio zangu kujipulizia nitakuwa nasahau mpaka nimalize hizo exams nitakuwa labda nimejipulizia mara mbili tu. Yaeda huko na vumbi itabidi kila siku niwe naamka asubuhi kublash viatu Oh mamaaa kazi kweli kweli. Na wakaka tuwe tunaangalia nini kwa wadada??? Nawaachia wanafani hii
Nasubiria kiiangazi ili niazime starlet ya mwanangu mmoja hivi. Oh natoa siri. Nitakuja na gari yanguhivi huku Yaeda utakuja bila gari......?.......nijue kwanza hilo.........
We jamaa, acha mazarau, umekaa na mwanaume halafu unataka yeye ndo aku re fill your glass?, maadili gani hayo, mimi nakumwaga on the spot
Good riddance wapi utakuwa umekosa mchumba,Itakuwa good riddance!