Wanawake tuna maneno

pole,,,,sina rafiki wa kike nilitemana nao tangu siku namaliza chuo ,,marafiki zangu wa shida tabu na raha ni wanaume wenye akili, wanaonipa chachu ya kuendelea..ninao marafiki kumi wakiume najivunia kuwa na marafiki wa aina hiyo ,namshukuru ..kila mwisho wa mwezi tunakutana kubadilishana mawazo na tuna kikundi chetu ....
 
Tatizo brain zinacharge low[emoji4]
 
Mi natamani wanawake wangekuwa wanafikiri kwa upeo mkubwa, mambo yao mengi wanathink simple simple tu...
 
Khaaaaa

Shosti rafiki simu yako anashika ya nini??????

Halafu heri uwe na mabesti wa kiume kuliko wanawake
Kuna bidada mmoja ana hizo mambo yani akiona simu yangu roho inamrukaa sijuagi hata kwa nini espy tayari nishasema Ke mwenzangu hukuu hahaha
 
Haa nisivopenda kushea cm na mtu nimeeka PW kabisa...

Huo ushost wa kua huru na cm yangu hapana aise
 
Siri na shosti no tutakaa kula kunywa saa yangu ikifika goodbye siku tunaachana hana la kusema mwanamke mmbeya sipatani nae kabisa.
 
Haha sio wanawake tu ata wanaume....mi saiz nimefanya shortlisting...nimebakiza mmoja tena ntakua namshirikisha ambayo sio yamaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…