Hata huyo aliyempa mimba huyo mwanamke ni mwanaume, na alijua kuwa huyo ni mke wa mtu eti
Na hawashindwi kwenye hiyo fainali, wanachukua na kombe!!
giLESi na bado watakimbia sana.......!
Sasa mtu unamzalisha mkeo watoto sita unategemea wote ni wako........!
Ila sijui siku hizi naona wanaishia 2 sana sana 3 na wameachana miaka 2 ama 3.........!:confused2:
Yaani akisha kimbia tu, basi hayo ndio majibu tayari kuonyesha mume si dume la mbigu hiyo inayoonekana!! Mimi naombea technology hii iwe-advanced kiasi cha kuwa kama kile kipimo cha mkojo kuangalia mimba, yaani naenda tu pharmacy nanunua halafu kipimo kinaendelea nyumbani tena mida ya usiku huku grill zote zimefungwa!!!!!!!
hiyo hata mimi nilishashuhudia,ilikuwa noma bab kubwa!!!
Suala si idadi ya watoto unaomzalisha mkeo. Ni suala la kumjua mkeo tu baaasi.
Hata maandiko matakatifu yanasema Kimbweka akamjua mkewe Ummu Kulthum akamzaa mtoto Baby Angel2012. lol
Sasa inapotokea mkewe akajuliwa na mwingine akarudi kwako ukamjua kumbe kilishanasa kwa aliyetangulia kumjua.....!:confused2:
Mi naona statisticaly huwezi kuconclude hivyo since mpaka wazazi waende kupima tayari kuna uwalakini katika suala la mzazi halali wa kiume wa mtoto.
And its likely kwamba uwezekano wa baba kukimbia majibu ni mdogo
Ukishapata majibu utayafanyia nini?
Ukimchunguza kuku humli....
Kitanda hakizao haramu kwnn akimbie
Wale wa 1947 tumeshayazoea hayo kwani tumeona ambayo ni makubwa zaidi na ndiyo maana kuna msemo kuwa kitanda hakizai haramu!!
Babu DC!!