Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,890
Wanawake wanaokwenda na wanaume zao kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa vinasaba vya binadamu(DNA) ili kujua uhalali wa watoto,hukimbia vipimo hivyo ktk hatua ya mwisho,mkemia na mchunguzi wa makosa ya jinai na vinasaba ktk maabara ya mkemia mkuu wa serikali Gloriao Machuve,alisema jana kuwa mara nyingi baba na mama wanapokwenda kuchunguza vinasaba ili kujua uhalali watoto,mama hukataa ktk hatua za mwisho!
wanawake wanacheza sana nusu fainali siku hizi.hebu pitia hapa ujionee.
imekaaje wadau
Wanakimbia nini? majibu?
wanawake wanacheza sana nusu fainali siku hizi.
Wale wa 1947 tumeshayazoea hayo kwani tumeona ambayo ni makubwa zaidi na ndiyo maana kuna msemo kuwa kitanda hakizai haramu!!
Babu DC!!
Hebu pitia hapa ujionee.
imekaaje wadau
hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram
Wale wa 1947 tumeshayazoea hayo kwani tumeona ambayo ni makubwa zaidi na ndiyo maana kuna msemo kuwa kitanda hakizai haramu!!
Babu DC!!
hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram
hivi kumbe kitendo haramu ee!amma kweli mwanadamu amezidi katika kumkufuru mola wake! Watu wanalana aje!hiyo misemo ya kilong bwana sa kwani kitanda kinazaa kweli? Af mtoto sio haram bali kitendo ndio haram