Wanawake Tumezidi Jamani Kha!!!!!



Huyo kaua bila ya kukusudia. Hakupanya just Heuristic.

Ila hiyo kesi ya huyo mwanamke ni planned.
 
najua makabila kama mawili ambao wamama wana hako katabia,
pia kuna rafiki mmoja alisema hata hapo kimara kuna kabila moja ambalo
wamama wamewamaliza waume zao ili wabaki na mali.

huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu
naamini hata hao wanawake wanaofanya hivyo ni wale wavivu
na matokeo yao pia huwa siyo mazuri.

mifano mingi sana ya wanawake wa hivyo ninayo.

Nakubaliana na wewe sijakataa lakini kuna tofauti hapa Mwanamke anamuua mumewe apate mali mwanaume anamuua mkewe kisa wivu kuua si kitu kizuri lakini ya kuua kwa ajili ya mali hapana aisee
 
Wanawake wa Kichaga wana Haka kamtindo.


"Pesa kwanza, Uhai baadae"

Hapo ndipo naposhindwa kabisa mimi hiyo ya kuua na wivu sijui kitu gani hizo si za kukusudia mara nyingi ni hasira lakini hii ya kuplan tena ya kutoa pesa nyingi kiasi hicho no way bana thats too much aisee
 

Now we are together sasa................

Ukisikia mwanaume kaua mkewe sijui kaua mwizi wake hizo zinakuwa hasira lakini can you imagine mtu anapanga tena anatoa mkwanja mreeefu wa kuua mumewe no no no hapana bana kha??!!! Ni mama wa aina gani huyo asiye na huruma kwa mtoto wa mwenzie??? Eehh kuna watu wana roho mbaya jameni mweeehhh Mungu atusaidie tu
 
Dena Amsi
huu uzi ni mgumu sana kuchangia
hii inatokana na wengi wa wasomaji wa huu uzi wameshaumizwa kwa namna moja au nyingine
na wengine pia wanaogopa hivi inawezekanaje kikatokea kitu kama hicho kwa mtu tunayeitana sweet au honey.

 
Last edited by a moderator:
Hapa Duniani siku hizi ni balaa hebu fikiria hizo 200,000Kshs ni pesa ngapi za TZ si angefanya kitu cha maana sana na inaonyesha anazo more than that cause hawezi kutoa hizo pesa akabaki hana kitu

ndo hapo aise kama angeamua kuwekeza ila ndo hivyo ujinga wake kaishia kukosa kila kitu
 
Dena Amsi
huu uzi ni mgumu sana kuchangia
hii inatokana na wengi wa wasomaji wa huu uzi wameshaumizwa kwa namna moja au nyingine
na wengine pia wanaogopa hivi inawezekanaje kikatokea kitu kama hicho kwa mtu tunayeitana sweet au honey.


Kiukweli ni mgumu sana mimi kwa upande wangu I was like listening from people wakisema but sikuwahi kuona wala kushuhudia live but this was like a shock to me the woman asking the court to forgive her kabisa tena macho makavu bila wasiwasi na kukiri nilipanga na tena kutoa pesa yote hiyo........I can't hide my feeling surely dah ilinigusa sana nikafikiria kama anaweza fikiria kumuua mumewe wanayelala kitanda kimoja je mtu wa nje si itakuwa balaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…