Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Personally ukiachana na wanawake ambao walishawahi kua classmates, sijawahi kua na rafiki wa kike nje ya hapo.
Of which hata hawa classmates endapo mmoja wapo akiolewa, basi ndio hua mwisho wa mawasiliano.
Am a business man, na nakutana na wadada warembo sana, but i always keep it professional.
Ukinivutia nakuambia ukweli, nikiona dalili za kua friendzoned, najiengua mapema sana.

I've never believed in existance of friendship between the two parties, without personal interests in between.
 
Yaani acha tu na baadhi ya watu waliongea sana mno,, walikuwa wananiuliza eti nimempendea nini wakati hana hela nikawa nawaambia mapenzi siyo pesa tu lakini yule mwanaume alizidi jamani khaaaa
Ha ha ha ha ha, sasa hivi unawaangaliaje?
Mapenzi sio pesa kweli ila pesa ni muhimu sana kwa ustawi wa mahusiano na kujua kama mtu kweli anakupenda.

Mfano, kama mwanaume hana hela anaweza kudate mwanamke yoyote ambaye haulizi hela au anampa hela. Yeye haangalii moyo wake unapenda wapi bali anaangalia ni nani anayeweza kumvumilia.

Mwanaume mwenye hela % nyingi akikwambia anakupenda ni kweli anakupenda, haangalii unafuu wowote. Ndio maana wanaume wengi wakishafanikiwa kimaisha wanaachaga wapenzi wao wa zamani ambao walikuwa wanawavumilia, kisha anaenda kutafuta chaguo lake la moyo.

Mimi kitu ninachoweza kumshauri mdogo wangu au rafiki yangu wa kike, ni asiangukie kwa mwanaume ambae hana pesa kwa kigezo mapenzi sio pesa, kwa sababu huyo ambaye hana pesa pengine hampendi kweli bali anaangalia tuu slope, na siku akipata pesa ataenda kwa wale wanawake anaowapendaga lakini alishindwa kuwapata kwa sababu alikuwa broke.
 
Hahahaha yaani anataka sehemu ambayo anajua hataombwa bali yeye ndiyo atakuwa anapewa,, haki wanaume wanazidi kupungua na siku hizi wamekuja na kamsemo kao eti hata wanyama majike ndiyo huwa yanawinda yanapeleka chakula wanakula familia nzima nikasema weee mimi mwanaume asiniletee huo ujinga maana nitamfurahisha na roho yake
Kwanza kumkubali mwanaume asiyejua kutafuta hela ni sawa na kuja kumtesa mtoto mtakao mzaa.

Atakuuliza kwanini ulimtafutia baba broke.
Kwa ajili ya familia zetu kuna umuhimu mkubwa sana wa kutafuta mwanaume anayeeleweka na anayefaa kuwa baba kwa watoto mtakaowazaa, hata kama haumpendi mtapendana mdogo mdogo.
 
cute b,
Naamini kama ME hana kitu bado utajua anakupenda kweli kwa jinsi atavyojitahidi kukuhudumia kwa hicho hicho kidogo chake maana ukweli uliodhahiri nibkuwa hata kama unaempenda akikununulia 'jojo' au handkerchief bado itakuwa & thamani kubwa sana sababu unafahamu uwezo wake upoje.
Ila shida wengi siku hizi ni tofauti kama unavyosema
 
Paula Paul,

Ngoma huwa tamu pale mwanamke anapomuweka mwanaume friendzone alafu mwanaume yy anamuweka mwanamke fuckzone. Imenitokea nilifahamiana na mtoto mmoja anajidai mtoto wa mjini.

Nilimsoma mapema sana kuwa huyu ni born town, so alishajipanga kunichuna, so nilijipanga mapema tunazungushana tu, kuna wakati anaigiza kunimiss ile mbaya, sasa hapo lazima achomekee matatizo ili mimi nifanye muamala.

Anachoambulia ni kuomba appointment tuonane, mi nataka nile mzigo ndo wallet ifunguke, yeye anataka nifungue wallet alaf niambulie patupu.

Sasa anapatwa na hasira kishenzi. senti yangu hailiki, na mi cpati papuchi. Kila mtu ashinde mechi zake
 
Ha ha ha ha ha, sasa hivi unawaangaliaje?
Mapenzi sio pesa kweli ila pesa ni muhimu sana kwa ustawi wa mahusiano na kujua kama mtu kweli anakupenda.

Mfano, kama mwanaume hana hela anaweza kudate mwanamke yoyote ambaye haulizi hela au anampa hela. Yeye haangalii moyo wake unapenda wapi bali anaangalia ni nani anayeweza kumvumilia.

Mwanaume mwenye hela % nyingi akikwambia anakupenda ni kweli anakupenda, haangalii unafuu wowote. Ndio maana wanaume wengi wakishafanikiwa kimaisha wanaachaga wapenzi wao wa zamani ambao walikuwa wanawavumilia, kisha anaenda kutafuta chaguo lake la moyo.

Mimi kitu ninachoweza kumshauri mdogo wangu au rafiki yangu wa kike, ni asiangukie kwa mwanaume ambae hana pesa kwa kigezo mapenzi sio pesa, kwa sababu huyo ambaye hana pesa pengine hampendi kweli bali anaangalia tuu slope, na siku akipata pesa ataenda kwa wale wanawake anaowapendaga lakini alishindwa kuwapata kwa sababu alikuwa broke.
Preach!
 
Ame kweli tutafute pesa
 
Naamini kama ME hana kitu bado utajua anakupenda kweli kwa jinsi atavyojitahidi kukuhudumia kwa hicho hicho kidogo chake maana ukweli uliodhahiri nibkuwa hata kama unaempenda akikununulia 'jojo' au handkerchief bado itakuwa & thamani kubwa sana sababu unafahamu uwezo wake upoje.
Ila shida wengi siku hizi ni tofauti kama unavyosema
Wanaume wasio na pesa wanajua ku pretend acha kabisa. Anaweza kuwa anakununulia hivo vijojo unadhani ni upendo kumbe tuu ni anajishtukia.
 
Aisee hii ni bonge la fact mamy!...ladies let's take notes,huu ni ukweli mchungu ambao hata wanaume wenyewe huwa wanavunga kuukubali
Ha ha ha ha ha, sasa hivi unawaangaliaje?
Mapenzi sio pesa kweli ila pesa ni muhimu sana kwa ustawi wa mahusiano na kujua kama mtu kweli anakupenda.

Mfano, kama mwanaume hana hela anaweza kudate mwanamke yoyote ambaye haulizi hela au anampa hela. Yeye haangalii moyo wake unapenda wapi bali anaangalia ni nani anayeweza kumvumilia.

Mwanaume mwenye hela % nyingi akikwambia anakupenda ni kweli anakupenda, haangalii unafuu wowote. Ndio maana wanaume wengi wakishafanikiwa kimaisha wanaachaga wapenzi wao wa zamani ambao walikuwa wanawavumilia, kisha anaenda kutafuta chaguo lake la moyo.

Mimi kitu ninachoweza kumshauri mdogo wangu au rafiki yangu wa kike, ni asiangukie kwa mwanaume ambae hana pesa kwa kigezo mapenzi sio pesa, kwa sababu huyo ambaye hana pesa pengine hampendi kweli bali anaangalia tuu slope, na siku akipata pesa ataenda kwa wale wanawake anaowapendaga lakini alishindwa kuwapata kwa sababu alikuwa broke.
 
Stress huwa tunapeana wote.

nyinyi ni viumbe ambao mmeumbwa na huruma sana.

kama bado mnawasiliana mpaka Leo
Ipo siku roho ya imani itakuingia na utamsamehe.

Labda umdelete kabisa kila corner ndo yaweza ikawa suluhu yako
Hahahaha tatizo huwa mna take advantage ya huruma yetu huwa mnafanya makosa makusudi mkiwaza kwamba ah tutawahurumia tu na tusipowahurumia mnatuona tuna roho mbaya kwa madai yenu kwamba wanawake tuliumbwa na huruma (japo hakuna sehemu kwenye maandiko inasema kuwa mwanaume hatakiwi kuwa na huruma) haki mie nikishajua hivyo ndiyo sikuhurumii kabisa yaani basi tu ili mradi nifanye tofauti na expectations zako
 
Yaani kwa sasa ndiyo naona walikuwa wanaongea vitu vya maana na hata mimi baada ya ku step out kwenye hayo mahusiano na ku move on ndiyo najishangaa hata mimi nilimpendea nini yule mwanaume

Kuhusu hapo kwenye kuvumilia kuna msemo unasema "a man marries a woman who he needs not a woman who he loves" so mwanaume anaoa sehemu ambayo anajua atafaidika na chochote haoi penye hamna
Ha ha ha ha ha, sasa hivi unawaangaliaje?
Mapenzi sio pesa kweli ila pesa ni muhimu sana kwa ustawi wa mahusiano na kujua kama mtu kweli anakupenda.

Mfano, kama mwanaume hana hela anaweza kudate mwanamke yoyote ambaye haulizi hela au anampa hela. Yeye haangalii moyo wake unapenda wapi bali anaangalia ni nani anayeweza kumvumilia.

Mwanaume mwenye hela % nyingi akikwambia anakupenda ni kweli anakupenda, haangalii unafuu wowote. Ndio maana wanaume wengi wakishafanikiwa kimaisha wanaachaga wapenzi wao wa zamani ambao walikuwa wanawavumilia, kisha anaenda kutafuta chaguo lake la moyo.

Mimi kitu ninachoweza kumshauri mdogo wangu au rafiki yangu wa kike, ni asiangukie kwa mwanaume ambae hana pesa kwa kigezo mapenzi sio pesa, kwa sababu huyo ambaye hana pesa pengine hampendi kweli bali anaangalia tuu slope, na siku akipata pesa ataenda kwa wale wanawake anaowapendaga lakini alishindwa kuwapata kwa sababu alikuwa broke.
 
Umeona enhh?? Pesa nayo ni chachu ya mapenzi jamani ifike mahali tuongee tu ukweli yaani let's just call a spade by its name; a spade and not a big spoon!

Back
Top Bottom