Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii


Halafu tukiwakataa wanaanza kusema eti wanawake tunakosa ndoa eti kwa sababu sijui tukipigiwa simu na namba ngeni kama ni wanaume tunawauliza namba wametoa wapi,, mara kwa sababu sijui tukisalimiwa na wanaume hatujibu tunajishaua.. yaani ujinga ujinga tu
Ha ha ha ha ha ha halafu wanaume wanaosemaga hivo unakuta hata sio waoaji😂
 
Hahahaha simlelei ila anaomba huyooo daah alikuwa haoni taabu kuomba hadi sh 100 mpesa na tukienda sehemu kutembea habebi hata buku kwahiyo chochote tutakachokula au tutakachopanda njiani hela nilikuwa natoa mimi au akibeba anabeba inayomtosha yeye tu

Alikuwa anataka nikienda kwake nimpikie nimfulie nimfanyie kila kitu ila yeye hakuna alichokuwa ananifanyia zaidi ya kuamka asubuhi na kuwa wa kwanza kunisalimia eti ndiyo akajiona ananijali sasa na mimi nikawa nikienda kwake ni kama nimeenda hotelini vile yaani sishiki chochote
Ha ha ha ha ha ha ulikuwa unamlelea?
 
Back
Top Bottom