Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Karma,
Ha ha ha ha ha ha aha ha huyu ni Mario plus.
Usilogwe ukarudiana nae, hafai hata kwa kupotezea muda aisee.

Kama vile nakuona mwanzoni ulivokuwa umekufa na kuoza na ukawa unategemea akuoe. Mashosti wakikushauri hauelewi😂😂😂
 
Hahahaha simlelei ila anaomba huyooo daah alikuwa haoni taabu kuomba hadi sh 100 mpesa na tukienda sehemu kutembea habebi hata buku kwahiyo chochote tutakachokula au tutakachopanda njiani hela nilikuwa natoa mimi au akibeba anabeba inayomtosha yeye tu

Alikuwa anataka nikienda kwake nimpikie nimfulie nimfanyie kila kitu ila yeye hakuna alichokuwa ananifanyia zaidi ya kuamka asubuhi na kuwa wa kwanza kunisalimia eti ndiyo akajiona ananijali sasa na mimi nikawa nikienda kwake ni kama nimeenda hotelini vile yaani sishiki chochote
Mimi hapo kwenye 100 Niko hoi uku

Umeifanya siku yangu iwe siku
 
Yaani acha tu na baadhi ya watu waliongea sana mno,, walikuwa wananiuliza eti nimempendea nini wakati hana hela nikawa nawaambia mapenzi siyo pesa tu lakini yule mwanaume alizidi jamani khaaaa
Ha ha ha ha ha ha aha ha huyu ni Mario plus.
Usilogwe ukarudiana nae, hafai hata kwa kupotezea muda aisee.

Kama vile nakuona mwanzoni ulivokuwa umekufa na kuoza na ukawa unategemea akuoe. Mashosti wakikushauri hauelewi
 
Hahahaha yaani anataka sehemu ambayo anajua hataombwa bali yeye ndiyo atakuwa anapewa,, haki wanaume wanazidi kupungua na siku hizi wamekuja na kamsemo kao eti hata wanyama majike ndiyo huwa yanawinda yanapeleka chakula wanakula familia nzima nikasema weee mimi mwanaume asiniletee huo ujinga maana nitamfurahisha na roho yake
Yaani mwangalie tuu, usilogwe ukampokea upya.
Kazunguka huko weee, kaona kila sehemu ni vizinga anaona arudi kwako kwa mteremko.
 
Hahahaha yaani anataka sehemu ambayo anajua hataombwa bali yeye ndiyo atakuwa anapewa,, haki wanaume wanazidi kupungua na siku hizi wamekuja na kamsemo kao eti hata wanyama majike ndiyo huwa yanawinda yanapeleka chakula wanakula familia nzima nikasema weee mimi mwanaume asiniletee huo ujinga maana nitamfurahisha na roho yake
hapo si unamsaidia kwani vibaya?, ata maandiko yanasema Mungu alimuumba mwanamke ili awe msaidizi wa mwanaume 😆
 
Back
Top Bottom