Kwema mzee? Ushirombo wazima?Nime elewa zaidi kuhusu hiyo fuckzone, ambayo maana yake ni kunyanduana.
Hizo zone zingine ngoja nisubiri wachangiaji wengine wakuje kufafanua zaidi.
Kwema mzee? Ushirombo wazima?Nime elewa zaidi kuhusu hiyo fuckzone, ambayo maana yake ni kunyanduana.
Hizo zone zingine ngoja nisubiri wachangiaji wengine wakuje kufafanua zaidi.
Kwema kabisa mkuu....Kwema mzee? Ushirombo wazima?
You can't be a friend of a straight man?!! Wait a minute. What about a gay?Yes, Nilikuwa na strong feelings na mwanaume mmoja but he was not a relationship material. He was a womanizer and he was really cheap kuomba omba vitu vitu hata tukipanda daladala anategemea mimi nilipe and he wouldn't even buy me a single handkerchief. Loser!
Actually I couldn't be his friend after that. I had to throw the whole man away because I never be friends with any straight man, and worked out in the end. I don't even entertain the idea.
I definitely needed this COMPTON BLVD. We learn from our mistakes, and become better.. Right?Sorry, sometimes you have to avoid strong feelings.Things changes, people changes.If someone loves you more and you love him enjoy your relationship by that time knowing someday there'll be miss understanding between y'all.
Wanawake nao si miongoni mwa jamii?..Mkusanyiko wa watu wanaoshahibiana kwenye mambo mbalimbali.
Embu naomba maana ya hii friend with benefits Kuna mtu anapenda kuniambia ivyo kwamba we are friends with benefits usikute Mimi ndo simuelewiYupo demu kaniweka friendzone tena ananiambia kabisa hatuwezi kuwa friend with benefits. Lakini nikimwita anakuja some time tunakuwa alone ila ananichukulia kama friend. Namtega tu.
Yeah I can only be friends with a gay but not any straight man. It seems very weird yeah? But non of my friends are gay tho!!You can't be a friend of a straight man?!! Wait a minute. What about a gay?
Ahsante. Kama kuna msaada saidia mkuupole
hiki kitu ni ujinga sanaNa mwanamke siogop kubakwa... ila kubaka ndio naogopa
Abdala kichwa wazi ndio analeta ugumu
Life is full of ups and downs,1 second,1 mistake can change your whole life.It depends on how incident happened.Some bad incidents may lead you to the better place while some others good may lead you to worse place...I definitely needed this COMPTON BLVD. We learn from our mistakes, and become better.. Right?
Thank you for this, I wont rush into anything I will regret later.
Maana yake mnakuwa marafiki kwa manufaa tu,kwamba y'all depends to each other or one depends to the other.Ikitokea manufaa yamepungua au hakuna there will be no friendship that's all...Embu naomba maana ya hii friend with benefits Kuna mtu anapenda kuniambia ivyo kwamba we are friends with benefits usikute Mimi ndo simuelewi
Binafsi mazingira ya kazi yangu yanasababisha nakuwa karibu sana na wadada mwisho wa siku inatokea baadhi yao wanataka tuingie kwenye zone pendwa na mimi sitaki inabidi nijifunze hii friendzone na namshukuru Mungu nimeiweza
Lakini mkijiwekea mipaka mbona Ni rahisi Sana
Hongera bossBinafsi mazingira ya kazi yangu yanasababisha nakuwa karibu sana na wadada mwisho wa siku inatokea baadhi yao wanataka tuingie kwenye zone pendwa na mimi sitaki inabidi nijifunze hii friendzone na namshukuru Mungu nimeiweza
Kasema Hana courage, tatizo ni yeyeTayari ana courage,ila ladies wana some kind of problem
Hakuna cha privacy, tumemalizana hapa hapaThat's kinda privacy conversation,nendeni mkamalizane DM ili myajenge vizuri.
Ni urafiki tu ambao munakuwa na mutual benefits bila ya kuwa na commitment mfano ukijiskia unaham ya dyudyu au papuchi unamcall mwenzako unamueleza unaham ya tunda basi anakuonea huruma unamega na ww pia unafanya same. Pia kila mtu yuko huru na mahusiano yake yaliyo serious and you ain't get jealous for his/her relationship.Embu naomba maana ya hii friend with benefits Kuna mtu anapenda kuniambia ivyo kwamba we are friends with benefits usikute Mimi ndo simuelewi
Hata mimi nilijua ni binti.Basi tuj najiuliza huyu ni mdada gani.
Nikisoma id ndio nakujua.
Kwamba huko kwenye serious relationship yako hupewi tunda au ni nini hikiNi urafiki tu ambao munakuwa na mutual benefits bila ya kuwa na commitment mfano ukijiskia unaham ya dyudyu au papuchi unamcall mwenzako unamueleza unaham ya tunda basi anakuonea huruma unamega na ww pia unafanya same. Pia kila mtu yuko huru na mahusiano yake yaliyo serious and you ain't get jealous for his/her relationship.
Ukikua utajua.Hv mm na swali..... Km ukitoa sex kwenye relationship, what other things women can offer kwenye relationship?