Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

Daah hii fuckzone hutokea sana kwa wanaume wenye mke au GF anaempenda sana alafu anatokea mwanamke from no where. Sasa ili kulinda heshima ya kiume unaamua kumweka fuckzone afu hii fuckzone wanaweza kukaa ata Kumi Wala haina shida.
Hauwezi kusema 'unampenda mpenzi wako sana' huku unashare haki yake na watu wengine.
Kama unampenda sana kweli basi utaridhika na kila kitu anachokupatia na kushiba, hautakula nje Abdul
 
Nakubaliana na ww madam paula paul, lkn nanyi mtoe mizigo bila ku demand malipo ikitokea friendzone imevunjika na kuingia fucking zone.
Kwani kuna mtu ambaye hajiuzi anayetoa penzi na kudai pesa Livafan?

Kama umemchukua mtu anayefanya biashara ya kuuza penzi, vigezo na masharti vizingatiwe.
 
Hahahaha nimecheka hiyo sentensi yako ya mwisho,, by the way ni kweli siyo wote ila wanaume ambao hawako hivyo ni wachache sana wengi wao ndiyo kama hivyo unavyoona kwenye comments..

Mimi mwenyewe tu nimejionea kwa baadhi ya wanaume wa hapa JF walionifuata PM,, ndiyo maana wengi sipendi mazoea nao..
Niliiona baada ya kuwa nisham-quote.
Naelewa hofu yake Ila si wote tupo hivyo.... wapo wenye marafiki wa kike tangu wanavaa nepi mpk leo & hawajawahi kuonja hicho kilichokuwa kinafunikwa na hizo nepi abadan
 
Hahahaha nimecheka hiyo sentensi yako ya mwisho,, by the way ni kweli siyo wote ila wanaume ambao hawako hivyo ni wachache sana wengi wao ndiyo kama hivyo unavyoona kwenye comments..

Mimi mwenyewe tu nimejionea kwa baadhi ya wanaume wa hapa JF walionifuata PM,, ndiyo maana wengi sipendi mazoea nao..
Hakika! Si kitu rahisi pia..

Ila yote ya yote kila upande una shida zake... Kuna mabinti ukiwa marafiki nao tu aidha watataka uwahudumie kama wapenzi wao ama ataenda tangaza kwa mashosti zake kuwa huyu," jamaa zoba maana hafanyi harakati zozote za kunitongoza"

NB:hakuna mapenzi Bora kama yale yametokana na urafiki
 
Back
Top Bottom