Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Siyo kuwa hatuyajui wengine tunawasaidia kupokea vitoto vyenu cha msingi acheni vituko acheni kabisa

Kama uliweza kupanua mapaja usindweje kupushi tu
 
Na ulivyo na kidomo hahahaha watakupiga masingi mpaka uchukie dudu haahahh nakutania tu mdogo wangu mzuri mzuri

Ni kawaida usiogope sana sie si unaona tumo tunachekelea na mbwembwe zote hizo hapa natamani kupata kichanga
Jamani mpaka nimeogopa.... Uwiiii sijui itakuwaje mwaka wa mimi kuingia huko nadhani manesi watanipiga makofi
 
Na ulivyo na kidomo hahahaha watakupiga masingi mpaka uchukie dudu haahahh nakutania tu mdogo wangu mzuri mzuri

Ni kawaida usiogope sana sie si unaona tumo tunachekelea na mbwembwe zote hizo hapa natamani kupata kichanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mnaogopa kuzaa lakin cha ajabu amuachi kunaniii na akina nanii.

Alafu sahiv amuna wanawake kuna wasanii tu....zamani ndo kulikuepo wanawake wa ukweli kama Mama Yangu
Maana wanawake wasahivi kutwa mnawaza nanii .
Hiki ni kitu gani
Kuna hakim alipeleka mke wake kujifungua general hospital, mkewe alikuwa headmistress shule moja, basi kampeleka usiku hadi asubuhi hajajifungua, mida ya saa nne akaenda na mkate na chai, akakuta mambo yamepamba moto. Ilr anaingia tu mke kusikia sauti ya mumewe akaanza kuporomosha matusi ya nguon akaona haitoshi akatoka uschi wa mnyama na mfagio anataka ampige mh. Hakimu hadi getini. Ndo mara ya kwanza naona mwanamke akiwa uchi, nlikiwa formfour
 
Pole my love ulivyoelezea nimeyahisi maumivu yake
 
yani wewe mwanamke umenitoa machozi na umenifurahisha pia,all an all natamani sana kuitwa mama
Mmmhh shikamooh mama mie nilivyoenda leba nasikia nilisema "uwiii wanaume wote wafe" manesi wakanijibu afe wa kwangu tu maana waume zao bado wanawapenda hahahhaha sitaki kusikia leba maana akili haikuwa yangu mweehh shkamooh mama
 
Naona Nyie amjui maumivu ya kuumia zile kengele zetu mbili..napita tu
 
Kuna dada alikuwa anatukana balaa huku anaita manesi wampe maji ya kunywa,hakuna aliekuwa anamjali..Alimaliza matusi yote.Nilikuwa na uchungu lkn matusi ya yule dd yalinivunja mbavu.Ilipofika zamu yangu sasa ya kujifungua mwili hauna nguvu .mapigo ya moyo yako juu,jasho,machozi na kamasi vilitoka kwa wakati mmoja.

Nilisali sala zote za kiroma na kiluther zooote nikazimaliza.Nilikosa nguvu kbs kiasi cha kushindwa ku-push na kichwa cha mtt kilianza kuonekana lakini nguvu sina.Ilifika wakt nika-give up kabisa nikaanza kunyoosha miguu nikamuambia nesi"Nesi siwezi tena"
Nesi alinisihii kujitahidi otherwise mtoto atakufa kwa kukosa hewa na kunywa maji machafu..Nilishindwa kabisa ilibidi nesi aongeze njia na nilijifungua mtt mrembo sana wa kilo 4.This time nililia machozi ya furaha na kumshukuru Mungu.
 
Tuongeze mtoto mmoja basi
 
Mwanaume aliyewahi kushikwa na uchungu naye atupe ushuhuda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…