Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

Hivi mnaujua uchungu wa kutolewa govi(mkono wa sweta)
 
Shikamoo mama Sabrina, si kwa uchungu huo aisee mpk nimesisimka mwili.
 
Pole but Hongera.
 
poleni wanawake ila mliambiwa mtazaa kwa uchungu mlidhani Mungu anatania, hata sisi huku tunavyotafuta tunatafuta kwa jasho kweli kweli mle, mpendeze mfurahi na kuzaa pia.
Sio mchezo kutafuta tonge wacha tupambane tu kila mtu na haki yake ila kwa mama nimenyoosha mikono, salute ziwaendee popote walipo.
 
Siku hizi hairuhusiwi kumuongezea njia mama isipokuwa unamuacha asukume tu ikiwezekana mpaka njia ijiongeze yenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…