Wanawake tuhurumieni wanaume jamani.

Wanawake tuhurumieni wanaume jamani.

Hao wanawake mizigo huwa mnawabeba kwenye matenga?
Hebu jifunze lugha ya staha kwanza.
 
kila mtu ana kosa hapo
yy kwnn hakumsubir pembeni?

alimsubili pembeni hadi akachoka kusimama, si unajua sisi tz11, angekuwa na gari labda angekaa kwenye gari akagesha kiti akalala.
 
Hao wanawake mizigo huwa mnawabeba kwenye matenga?
Hebu jifunze lugha ya staha kwanza.

ungekuwa wewe mwanamke wa namna hii ungemwitaje?
 
hoja kubwa ni kuwa wanawake wana madhaifu makubwa sana, samahani kama nimewaudhi.

samahan ya nn mkuu,huhitaji kuomba msamaha kwa kusema ukweli,ukweli hua hauna msamaha,kwa mfano,useme jua linachomoza masharik na kuzama magharibi kisha uombe samahan?hapana,ukisema jua linatoka kusini na kuzama kaskazn unahtaj kuomba msamaha.
 
ni kweli wanawake ni mizigo,tena mizigo ya uchafu isiyobebeka,alaf mungu gan anakwaza watu?huyo atakua mungu mjinga,ila mungu wa mbinguni hayuko hvo usimsingizie,huyo mungu anaekwaza watu atakua mungu wa wafu asie na akili.

Na wewe ulizaliwa na mwanamke?
Matumbo yanabeba vingi!
 
ni kweli wanawake ni mizigo,tena mizigo ya uchafu isiyobebeka,alaf mungu gan anakwaza watu?huyo atakua mungu mjinga,ila mungu wa mbinguni hayuko hvo usimsingizie,huyo mungu anaekwaza watu atakua mungu wa wafu asie na akili.

kwa kuongezea ndani ya biblia takatifu imeandikwa enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akiri, nini maana yake hapo?
 
Mungu akurehemu...
 
kwa kuongezea ndani ya biblia takatifu imeandikwa enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akiri, nini maana yake hapo?
maana yake ni kua kwa kua sisi tuna akili, tuish nao kwa kutumia hiyo akili maana wao hawana akili,wangekua na akili biblia isingetuonya hivo mkuu.
 
ni kweli wanawake ni mizigo,tena mizigo ya uchafu isiyobebeka,alaf mungu gan anakwaza watu?huyo atakua mungu mjinga,ila mungu wa mbinguni hayuko hvo usimsingizie,huyo mungu anaekwaza watu atakua mungu wa wafu asie na akili.

Unajua kaka kuishi na hawa viumbe unahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Maana asilimia kubwa huwa hawajielewi, Ukimwambia fanya hiki, utakuta kafanya kile. Ukimfundisha mazuri yeye ndo anazidi kuharibu yaani ilimradi vuluvulu. Ndio maana walio na bastola na uvumilivu mdogo huwa wanawamwaga ubongo mezani.
 
Uki generalize kuwa wanawake ni mizigo maanake ni kwamba hata yule mzazi unaye mheshimu sana ni moja ya mizigo uisemayo!! Fikiri kabla ya kulipachika neno otherwise kila kundi lina mapungufu yake!
 
Mwanamke ni mswahili...jama aanze upya hana mpenzi hapo
mhhh mbona umehukumu haraka hvo? hzo ni ni weakness ndogo ndogo ya kwenye mapenz!kikubwa ni kuonyana na kurekebishana..ila kuachana duh ulimwengu huu nobody z perfect,, even u mkuu!
 
Uyu JEKI nadhani mamake atakua shoga., huwez kuwa2c wanawake kias hch. Shirikisha ubongo mkuu kwny upuuzi unaoandika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom