20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Rafiki yangu yupo kwenye mzozo mkali na mpenzi wake, walitoka kutembea na wakakaa katika bar moja, wamekunywa na kula, wakati wanatoka dada yule akakutana na mwanaume mmoja wanaofahamiana, wakaanza kupiga story, jamaa amesimama kusubilia muda mrefu hadi akaamua kutangulia tu na kuwaacha wakiongea, baadae ndo akamkuta stand ya daladala wakaondoka. Rafiki yangu anasema alichukia kidogo amnase kofi mpenzi wake na kinachomuumiza zaidi ni story gani hizo ndefu walikuwa wakiongea hadi asimjali kiasi kile? amemuuliza anasema eti ni walisoma naye, nimemwambia awe mvumilivu, wanawake ni mizigo na hilo lilomfika ni dogo tu kati ya makubwa huko mbeleni.
dah..hii imeonesh nafasi ya man kuw ni ndogo pale akiw around na old frnds..me nisinge ask kabsa abot alicho fany..nione busara yak.kama akipotezea na yeye ntajua she dont care abot u kivile