Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.

Dada una akili sana..umebarikiwa..na mama mzaa wewe tumbo lake limebarikiwa!Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Umchunguze na uujue mchepuko wake kweli tena ni kifaa kuku zidi wewe
Tupoooo. Hayo mambo ya kumfuatilia mtu anaongea na simu ni utoto na kutokujiamini. Fikiria huyo jamaa kabla yako amekutana na wangapi lakini akaishia kwako, kikubwa awe na nidhamu kama hiyo ya simu zake za HOVYO kwenda kuongelea mbali.Wanawake wenye ufahamu na uchambuzi wa hali ya juu kama sky wameenda wapi.
Tatizo linaanzia hapa....mnapotaka kushindana. Ukiingia ndoani na akili ya kushindana...unapotea.Swali ni je hilo hata wanaume wanaweza kufanya? Yaani mke simu inaingia anaenda kuongelea chumbani halafu mume kakaa tu hana hata wasiwasi na wala haulizi ni nani aliyepiga simu?
Wanawake tunaweza ila na wanaume wanaweza? Na wao wakiweza basi hakika ndoa itakuwa tamu zaidi ila siyo hawa wanaume wa kiafrika kila kitu utasikia "mimi ndo mwanaume humu ndani na mimi ndo niliyekuoa" ishiii kwahiyo?
Under 20 unaharibu watoto wewe.
Sky Eclat upo vzr sana, endelea kuwapa darasa wasiojilewa, big sana keep it up!Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
bby wangu utakubali niwe fisi kweli? Mradi nakuheshimuKwa kweli unatafuta tu kufa mapema
We sio wife material tu bali mwanamke aliekomaa na imara kwenye taasisi ya ndoa.Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Hakuna anayetaka kushindana ila tatizo wanaume mnadhani ndoa bora ni ile ambayo mwanaume anafanya makosa kwa makusudi kila siku akitegemea mke wake atamsamehe na atamvumilia na mwanamke hafanyi makosa hata siku moja ndo ndoa mnazotaka hizoTatizo linaanzia hapa....mnapotaka kushindana. Ukiingia ndoani na akili ya kushindana...unapotea.
Yaah sikuzote anakulindia heshima wewe mke wa ndoa leo umelitafuta mwenyewe
😂😂😂😂😂 toshekeni na sura na shepu zenu ~~Waefeso 120Inauma ukiona mchepuko ni mzuri kuzidi main chick lol
Vita ya maji maji miaka mfululizo 1905 mpaka na ngapi sijui😂😂😂😂Hahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...
Nilivyo na gubu hivyo simu ipigwe ukaongee chumbani asalaleeeeeeeeee vita ya hapo si ya mchezo
Ukumbuke wewe ni mke sio kiranja wala hakimu. Ukiyazingatia haya utaishi kwa amani tele ndoaniHakuna anayetaka kushindana ila tatizo wanaume mnadhani ndoa bora ni ile ambayo mwanaume anafanya makosa kwa makusudi kila siku akitegemea mke wake atamsamehe na atamvumilia na mwanamke hafanyi makosa hata siku moja ndo ndoa mnazotaka hizo
utateseka sana, unajua mwanamke anaboaga sehemu moja tu. Ukiongelea usoni mwake ama kujificha vyote mwisho wa siku vitazaa varangatiHahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahahahahahahahahhaahhaha hebu nijitahidi niwe kama hivi uwenda nikadumu kwenye mahusisno lol...