Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Duuh kwahiyo ukiwa mume ndo yakupasa kufanya makosa kwa makusudi ukitegemra mkeo akusamehe na akuvumilie kila kitu na siku? Kwa hali hii wanawake mbona tuna kazi kwenye ndoaUkumbuke wewe ni mke sio kiranja wala hakimu. Ukiyazingatia haya utaishi kwa amani tele ndoani
Kwa kweli mimi ndoa zinisubiri tu hizi za kutaka mwanamke peke yake ndo ajicommit? Labda zikija za aina nyingine ndo nitaolewa hata kesho ila kama ni hizi basi Mungu anichukue nikiwa single tu maana hata yeye hakuumba ndoa za aina hii

