bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Hakuna haja ya kupoteza gharama cha kwanza mwambie afuate masharti yako hawezi mwambie sawa huduma zitaendelea akiweza.Pole sn kamanda hii stor yko ndio imatrend kwangu kwa sasa nimegoma kutuma pesa za matumiz mpaka nipime DNA kuna girl kajifungua juzi anadai mtoto ni wangu kinachonitatiza ni maneno yke
1.alidai mimba imetungwa nje ya mfuko wa uzaz
2.aliwah tuma sms eti anamwambia rafik yke aje kwake weekend amuone shem wake nilishtuka sn na ile sms nilipomuuliza akasema eti anatanianaga na rafik yke
3.Mara ya mwisho kusex nae nikihesabu miez adi anajifungua haijafika tisa na miez kadhaa alikuwa mkoan kwa mantik nyingine ckulala nae miez km 3 nyuma
4.kajifungua nimemwambia anitumie pic ya mtoto kasema hana smart nilipomwambia aazime kasema hana wa kumuazima
NAOMBEN USHAUR pia naomba kujua gharama za kupima DNA
Hawa viumbe wa ajabu sana mi kuna binti nilibambikiwa na washkaji kisa waliona mi sitongozi mademu basi wakanisakizia bila taarifa wakadai huyu jamaa anataka kumuoa mdogo wako .......ss wakaniacha na demu basi mm kila nikimuulizia kuhusu huyo mdogo wake yy anakaba njia nikamwambia basi nipe namba yake ya simu akasema dogo hana simu.
Tukaendelea kuwasiliana kila siku yy anakaba njia basi nikalazimika kupita naye mwenyewe,safari ikakolea mpaka siku anasema ana mimba nikamwambia poa.
Sasa mzigo umekua nikamuuliza anakadiria kujifungua mwezi gani maana mm nilinote down siku ya hiyo show akataja mwezi wa 3 kwenye tarehe15 nikamwambia haiwezekani unatakuwa ujifungue kuanzia mwezi wa 5 ndio mm nitakuwa nahusika maelezo kibaoooo ooh utakuwa umesahau na story nyingi nyingi mwezi wa 3 ukapita nikamuuliza unaona hebu sema vlinic wamekadiriaje akasema kwenye mwezi wa4 kabla ya tar20 nikamkatalia tena nikamwambia huyo mtoto km ni wangu inabidi ujifungue kuanzia Tar7 hadi 20 mwezi wa5 la sivyo kutakuwa na shida..Bwana bwana binti si akajifungua tarehe 10 mwezi wa 5 kweli basi kidume nikajiona mshindi mahitaji kedekede ila kilichokuja kutokea nikaambiwa mtoto kuna jamaa anampost FB km baba yake kufanya utafiti wangu nikagundua sina changu nikafuta kila kitu sinaga habari na kuumia kwenye watoto yaani ni suala lisilo na nafasi kwangu kuniumiza.
Mtoto ss hv ana miaka2 ikifika tarehe 10 mwezi huu,maisha yasonga nikiwa sina mtoto.
Sent using Jamii Forums mobile app