chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Kumbe JF iko hadi Moshi?
teh teh teh ulijua mnaipata watu wa mpanda pekee?
Kumbe JF iko hadi Moshi?

Kama umesikia ukoo wa Zuberi Mndwanyika Msoffe ndio hapoooooooKarib mkuu
Habarini wana jamii forum wenzangu,
Hope ni wazima wa afya...
Jana mida fulani ya jioni nilikuwa mimi na rafiki yangu kwenye gari aina ya Noah tunatoka zetu town tunarud mitaa ya home ambako ni mbali na town.
Tukapaki gari mitaa fulani sio mbali na town tukasema ngoja tupate soda mbili tatu, sasa hapo sehemu tulipokuwa tunakunywa soda kwa pembeni kulikuwa na dada mmoja maji ya kunde mkali kinoma anachezea simu yake sijui alikuwa anachati au vipi, basi jamaa yangu akamuita dada vipi unaweza kujumuika na sisi tubadilishane maana??
Lakini jamaa yangu akiwa na imani kabisa huyo dada atakaa.Cha ajabu yule dada hakukataa akajumuika tukamkaribisha soda achukue, au kama anakunywa bia aagize, akakataa akasema ameshakunywa kipindi sisi hatujaja, basi sote zikaendelea mpaka mida ya saa moja na nusu dada wa watu akatuzoea vibaya na kutuamini kwa muda mfupi tukawa marafiki,
Akasema yeye anafanya kazi zake ndogondogo za kuuza nguo za kike, tukamwambia na sisi tuna duka la mzee la bolts na nuts tunamsaidia ila tumepanga miataa ya Uchira kama kilometa 12 kutoka moshi mjini.
Sasa baadaye jamaa yangu akamshawishi yule dada kama hatojali anaweza akaondoka na sisi twende maeneo tunakoishi akapajue kama hatajali halafu tutamsindikiza,
KWANINI YULE DADA ASIKUBALI,TUKAONDOKA NAYE TUMETEMBEA KAMA KILOMUTA 9 HIVI, JAMAA YANGU AKASIMAMISHA GARI AKAMUULIZA HIVI WEWE DADA MBONA UNAJIAMINI SANA YAANI SISI WATU WENYEWE HUTUFAHAMU VIZURI NA USIKU HUU UNAKUBALI KUJA TUNAPAOISHI UNAJUAJE KAMA SISI NI MAJAMBAZI AU WABAKAJI???
Akacheka mwenyewe akasema nyie mtakuwa watu wazuri tu mnaonekana,jamaa akamwambia ashuke kwenye gari akampa 5000 ya nauli akamwabia nenda nyumbani wewe sio mtu mzuri hata huogopi watu.........
Mara nyingi nimekuwa nikiwaona hata wakinadada wakiambiwa panda lifti twende hawawazi wanapanda haaaaaaoooooooooooooooo ........
Kwanini wanawake hamuogopi vya watu???????

Tuna watreat wanawake km something not human being tunawafanya tutakavyo sometimes unamtongoza Dem sio kwamba umempenda ila ulikua unatest tu unashangaa huyo kajaa. Nyie wanawake nyieHamna jema saa nyingine ingetokea amekataa mngesema wanawake mnaringa amekubali imeshakuwa shida unakuja kumlalamikia humu kwa sababu siku zote huko kusogea ndio mwanzo wa kujuana lakini.
Mbaya kama angejileta mwenyewe kumbe ulimuita. Makosa anayo ila nyie ndio mna makosa zaidi.
Jibu zuri sana ila huyu jamaa sio wa mpanda anaonekana wa tandahimbateh teh teh ulijua mnaipata watu wa mpanda pekee?
Umeona eeeh princess..........Watu tunatembea na visu ukizingua tunakata k.dani
dunia yenyewe hii usipojifunza judo basi kaa nyumbani kama mie
teh teh teh ulijua mnaipata watu wa mpanda pekee?
Wanahuruma sana Dada Zetu yaan daaaaahHabarini wana jamii forum wenzangu,
Hope ni wazima wa afya...
Jana mida fulani ya jioni nilikuwa mimi na rafiki yangu kwenye gari aina ya Noah tunatoka zetu town tunarud mitaa ya home ambako ni mbali na town.
Tukapaki gari mitaa fulani sio mbali na town tukasema ngoja tupate soda mbili tatu, sasa hapo sehemu tulipokuwa tunakunywa soda kwa pembeni kulikuwa na dada mmoja maji ya kunde mkali kinoma anachezea simu yake sijui alikuwa anachati au vipi, basi jamaa yangu akamuita dada vipi unaweza kujumuika na sisi tubadilishane maana??
Lakini jamaa yangu akiwa na imani kabisa huyo dada atakaa.Cha ajabu yule dada hakukataa akajumuika tukamkaribisha soda achukue, au kama anakunywa bia aagize, akakataa akasema ameshakunywa kipindi sisi hatujaja, basi sote zikaendelea mpaka mida ya saa moja na nusu dada wa watu akatuzoea vibaya na kutuamini kwa muda mfupi tukawa marafiki,
Akasema yeye anafanya kazi zake ndogondogo za kuuza nguo za kike, tukamwambia na sisi tuna duka la mzee la bolts na nuts tunamsaidia ila tumepanga miataa ya Uchira kama kilometa 12 kutoka moshi mjini.
Sasa baadaye jamaa yangu akamshawishi yule dada kama hatojali anaweza akaondoka na sisi twende maeneo tunakoishi akapajue kama hatajali halafu tutamsindikiza,
KWANINI YULE DADA ASIKUBALI,TUKAONDOKA NAYE TUMETEMBEA KAMA KILOMUTA 9 HIVI, JAMAA YANGU AKASIMAMISHA GARI AKAMUULIZA HIVI WEWE DADA MBONA UNAJIAMINI SANA YAANI SISI WATU WENYEWE HUTUFAHAMU VIZURI NA USIKU HUU UNAKUBALI KUJA TUNAPAOISHI UNAJUAJE KAMA SISI NI MAJAMBAZI AU WABAKAJI???
Akacheka mwenyewe akasema nyie mtakuwa watu wazuri tu mnaonekana,jamaa akamwambia ashuke kwenye gari akampa 5000 ya nauli akamwabia nenda nyumbani wewe sio mtu mzuri hata huogopi watu.........
Mara nyingi nimekuwa nikiwaona hata wakinadada wakiambiwa panda lifti twende hawawazi wanapanda haaaaaaoooooooooooooooo ........
Kwanini wanawake hamuogopi vya watu???????
Ana maana Kama mngekuwa watu wabaya basi na yeye alikuwa jinni maimuna, hamkuwa na nia mbaya, Ngekewa nayo msingefika salama, mngebanduliwa naye......akili za wanawake anazijua bibi Yao HAWA/EVA

Hahahaa. Nipitie tu aisee. Mana ndio mwanzo wa kujuana huo.Nikupitie tukanywe Soda ila mim sina Noah mama so tutapiga mdogo mdogo
Acha Tufahamiane kabla ya Kujuana SwahibaHahahaa. Nipitie tu aisee. Mana ndio mwanzo wa kujuana huo.
Hahaaa. Sasa kwa nini mtest mkuu wakati mmeshajua tuna mapungufu yetu ambayo hatuchelewe kujaa.Tuna watreat wanawake km something not human being tunawafanya tutakavyo sometimes unamtongoza Dem sio kwamba umempenda ila ulikua unatest tu unashangaa huyo kajaa. Nyie wanawake nyie
Mmh. Ushaenda mbali tayari bonny. Lol.Acha Tufahamiane kabla ya Kujuana Swahiba

Alah Kumbe una Noah swahiba kwan hela za Makinikia Tushalipwa Mama..Mmh. Ushaenda mbali tayari bonny. Lol.
We nipitie mi ndio nitakupakia kwenye Noah yangu.![]()
![]()