Wanawake sio waoga aisee......

Wanawake sio waoga aisee......

Hamna jema saa nyingine ingetokea amekataa mngesema wanawake mnaringa amekubali imeshakuwa shida unakuja kumlalamikia humu kwa sababu siku zote huko kusogea ndio mwanzo wa kujuana lakini.

Mbaya kama angejileta mwenyewe kumbe ulimuita. Makosa anayo ila nyie ndio mna makosa zaidi.
Kweli
 
Wanaume wa Moshi bwana, sasa arifu mlimuita wa nini aisee!!!! Na angekataa si ajabu mngemtukana au kumkejeli.

Nae ana moyo wa lami, yaaani Unaenda nyumbani kwa watu wasiojulikana!!!!
 
Hahaaa. Sasa kwa nini mtest mkuu wakati mmeshajua tuna mapungufu yetu ambayo hatuchelewe kujaa.

Mngekuwa mnauchuna basi.
Tunasikiaga raha kuwachezea kwani we hujui hilo kumtokea Dem ujue km vile kucheza Game unakua unapenda kila saa ufanye hivyo kuna ladha flani hv
 
Du! umetaja Uchira aisee nimekumbuka mbali sana!
Nimemkumbuka mama yangu mzazi, Pumzika kwa amani mama yangu. mleta uzi umetaja eneo alikozaliwa mama yangu mzazi
Hongera, ila Mimi nakumbuka tukio baya la kufariki kwa ajali ya mama mzaa chema wangu.
 
Du! umetaja Uchira aisee nimekumbuka mbali sana!
Nimemkumbuka mama yangu mzazi, Pumzika kwa amani mama yangu. mleta uzi umetaja eneo alikozaliwa mama yangu mzazi
Pole sana mtani
 
Alah Kumbe una Noah swahiba kwan hela za Makinikia Tushalipwa Mama..
Nogopa Kutekwa aisee acha tufanye Matembez ya Hiar tu
Hahaaa. Ya kuazima swahiba. Zile za makinikia bado.

Basi nighairi kuazima ili tufanye hayo matembezi ya hiari.
 
Wanaume wa Moshi bwana, sasa arifu mlimuita wa nini aisee!!!! Na angekataa si ajabu mngemtukana au kumkejeli.

Nae ana moyo wa lami, yaaani Unaenda nyumbani kwa watu wasiojulikana!!!!
Hahaaaa. Eti km 09 bado yumo tu sa sijui huyo mwenzetu alitaka akashukie wapi.
 
Wanaume wa Moshi bwana, sasa arifu mlimuita wa nini aisee!!!! Na angekataa si ajabu mngemtukana au kumkejeli.

Nae ana moyo wa lami, yaaani Unaenda nyumbani kwa watu wasiojulikana!!!!
Akili za huyo mdada zilishaamia chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom