Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

Mdindishie akikusogelea huku ukijifanya umelala
Kwa mwanaume mwenye afya timamu huna msongo wa mawazo mwanamke anaevutia akikusogezea tu akakugusa na maumbile yake lazima Mshale usimame 90⁰ na ndo ilikua hivyo na nafahamu alikua anaskia msumari umesimama ila akawa hajali wala nini ndo kwanza anaenda mbele kidogo na kujirudisha tena nikageuka upande wa siti ila mzigo huu hapa bado upo
 
Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa.

Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana.

Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo naomba mpunguze kutusogezea, sisi wengine ni maji mara moja maharage ya mbeya ukitusogezea mzigo mnara unasoma 5G hapohapo hata bila kupenda.

Swali langu ni je hivi kuwa hamuhisi kuna kitu kigumu kinakugusa? Je huwa mnakua comfortable?

Binafsi huwa nakua sipo comfortable kumgusa mwanamke nikiwa katika hali hiyo ya 5G hali yakua hatuna uhusiano wowote , leo hali hii nimekutana nayo kwenye Daladala nimejitahidi sana kukwepa na kusogea nyuma ila Mwana Dada aliekua mbele yangu alikua anajiachia sana na kurudi nyuma kila ninaposogea nyuma.

Hivyo tafadhali naomba mpunguze kutusogezea, kuna watu wengine koki mbovu mtakuja kuloana.
Wanawasogezea makusudi kwa sababu wako mawindoni wakitafuta wanaume wasiojitambua.
 
Leo aliekua kasimama nyumba yangu alikua Mashallah kuliko alie mbele yangu lakini wa mbele yangu nae hakua mnyonge alikua na point za muhimu alizomzidi wa nyuma yangu
Huchelewi kuitiwa dungadunga....
 
Ilinitokea pia kwenye mwendokasi, bahati nzuri sina tabia ya kusimamisha hovyo kwa sababu namaliza haja zangu zote kabla sijatoka nyumbani😅
 
Pole sana mleta uzi na hongera sana kwa kuruka kiunzi japo ilikuwa kidogo unase kwenye mtego. Ungejichanganya kidogo alafu wazungu watoke ndio ungejua hujui maana ungelipa madeni yote ya vikoba na mikopo yote ya kausha damu na chupi mkononi. Wakina dada wa aina hiyo wapo wengi sana kwenye dala dala na mwendokasi na hawana aibu kabisa wazungu wakitoka tu anapiga kabisa kelele watu waone anabaidilika kabisa anakuwa si yule aliyekuwa anakupa ushirikiano mwanzoni. Na analazimisha muende polisi. Mkifika huko hataki kesi wala nini anachotaka ni fidia tu asubuhi na mapema akishalipwa anarudi mtaani kulipa madeni. Ndio maana wanasema mjini shule japo hauoni madarasa.
 
Ilinitokea pia kwenye mwendokasi, bahati nzuri sina tabia ya kusimamisha hovyo kwa sababu namaliza haja zangu zote kabla sijatoka nyumbani😅
Kwa sisi mabachela ni mtihani mgumu lazima chuma kisimame
 
Pole sana mleta uzi na hongera sana kwa kuruka kiunzi japo ilikuwa kidogo unase kwenye mtego. Ungejichanganya kidogo alafu wazungu watoke ndio ungejua hujui maana ungelipa madeni yote ya vikoba na mikopo yote ya kausha damu na chupi mkononi. Wakina dada wa aina hiyo wapo wengi sana kwenye dala dala na mwendokasi na hawana aibu kabisa wazungu wakitoka tu anapiga kabisa kelele watu waone anabaidilika kabisa anakuwa si yule aliyekuwa anakupa ushirikiano mwanzoni. Na analazimisha muende polisi. Mkifika huko hataki kesi wala nini anachotaka ni fidia tu asubuhi na mapema akishalipwa anarudi mtaani kulipa madeni. Ndio maana wanasema mjini shule japo hauoni madarasa.
Wewe sasa ndo umenipa akili kumbe baadhi yao wako kwenye mission maalumu, na yule jinsi alivyokua anatoa ushirikiano nimem-suspect inawezekana ilikua mtego, maana makusudi yalipita kipimo cha kawaida
 
Mambo kama hayo apo, pisi inakuletea nzima nzima.
 
Aise kama niliekutana nae leo ni mke wa mtu basi mume wake kasafiri anaonekana ana ngunga ya muda mrefu alafu mrembo
Mkuu hiyo michezo sio kwa sababu ya upwiru bali wanapenda hiyo michezo, unaweza kukuta demu kapanda na bwana wake humo kwenye daladala ila bado anamsusia mwanaume mwengine wa aliyenyuma yake, au unakuta mdada amekususia mzigo halafu anawasiliana na mumewe kwenye simu anamwambia kuna foleni sana nipo sehemu fulani.
 
Mimi siwezi kulalamika ukinisogezea...
Nitafanya my assignment vizuri...
Kuna siku daladala limejaa sana mbele yangu kuna kiuwazi kidogo sana, basi gari limeenda mara ghafla mdada pembeni kajipachika kwenye kile kiuwazi mbele yangu tukawa tumebanana kichizi na tako lake basi baada ya muda nikaona kachomoka mwenyewe huku ananitazama usoni. Kimoyoni nikasema we mwehu nini ulidhani mie shoga au mwanamke mwenzio.
 
Mkuu hiyo michezo sio kwa sababu ya upwiru bali wanapenda hiyo michezo, unaweza kukuta demu kapanda na bwana wake humo kwenye daladala ila bado anamsusia mwanaume mwengine wa aliyenyuma yake, au unakuta mdada amekususia mzigo halafu anawasiliana na mumewe kwenye simu anamwambia kuna foleni sana nipo sehemu fulani.
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji1316][emoji1316]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom