Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

Huwa ni vyema kugeukia upande mwingine ili muwe opposite wengine hawajui kusimama kwenye dala dala, ila hili la akina dada kufanya hivyo lipo pia unaweza kuhisi anafanya kusudi ila ukimwangaliaunaona mbona kama hayupo kabisa Yani hajakusudia , ukifikiria vizuri yale maandiko yanasema wanaume wengi wanaenda motoni kwasababu ya fitina ya wanawake ndio utajua wengine huwa wanafanya kusudi na wanajua kabisa udhaifu wa wanaume ulipo
 
Hiyo hali mimi imenikuta leo kwenye dala dala hapa Mwanza,nimepandia pale Nyegezi kufika pale kituo cha kijiweni akapanda mda mzuri mfupi wa wastani ila ana mzigo haswa tena wa haja,basi akatuama mbele yangu kila nikifanya hv ana mm,aisee mpaka kufika Nata sijitambui,aisee yule dada..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom