Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

Huwa ni vyema kugeukia upande mwingine ili muwe opposite wengine hawajui kuisimama kwenye dala dala, ila hili la kuna dada kufanya hivyo lipo pia unaweza kuhisi anafanya kusudi ila ukimwangaliaunaona mbona kama kama hayupo kabisa , kuifikiria vizuri yale maandiko yanasema wanaume wengi wanaenda moyoni kwasababu ya fitina ya wanawake ndio utajua wengine huwa wanafanya kusudi na wanajua kabisa udhaifu wa wanaume
Ni kweli wapo ambao wanafanya hivyo bila kuwa na nia yoyote huwenda wanashindwa kusimama vizuri, na hata huyu nilimdhania hivyo awali lakini mimi ni binadam naaakili timam nilielewa anachofanya ni makusudi kutokana na jitihada nilizofanya kukwepa na yeye alikua anayo nafasi ya kusimama bila kunigusa ila hali haikua hivyo
 
niliwahi shuhudia Jamaa alijikojelea kwenye daladala, halafu yule mdada anajifanya kushangaa, Jamaa alikua na muonekano wakistaarabu sana, aliadhirika kwa kweli.
 
niliwahi shuhudia Jamaa alijikojelea kwenye daladala, halafu yule mdada anajifanya kushangaa, Jamaa alikua na muonekano wakistaarabu sana, aliadhirika kwa kweli.
Kama upo single na umejizuia na michezo michafu Kama kujichua sexual tension inakua juu sana , inawezekana jamaa alikua katika hali hiyo, hapo ukikutana na hawa wadada wanaokusogezea kwenye Daladala unaweza kupiga bao
 
Ni kweli wapo ambao wanafanya hivyo bila kuwa na nia yoyote huwenda wanashindwa kusimama vizuri, na hata huyu nilimdhania hivyo awali lakini mimi ni binadam naaakili timam nilielewa anachofanya ni makusudi kutokana na jitihada nilizofanya kukwepa na yeye alikua anayo nafasi ya kusimama bila kunigusa ila hali haikua hivyo
Ni kweli hata mimi iliwahi nikuta bahati nzuri daladala haikuwa imekaa kiasi cha kubanana lakini dada akawa anajibana kila nikisogea NAE anasogea kuna bro mtu mzima alikuwa amekaa kwenye siti akaniangalia nikaona kama ameona huo ni mchezo nikahamia kabisa upande mwingine, sasa nilifikiria alikuwa anapigana nafasi kwa nani au lengo lilikuwa wanaopanda wasipate shida sikumwelewa kabisa
 
Hiyo hali mimi imenikuta leo kwenye dala dala hapa Mwanza,nimepandia pale Nyegezi kufika pale kituo cha kijiweni akapanda mda mzuri mfupi wa wastani ila ana mzigo haswa tena wa haja,basi akatuama mbele yangu kila nikifanya hv ana mm,aisee mpaka kufika Nata sijitambui,aisee yule dada..
Akaweka distance kama jina lako😂😂😂
 
Chukua namba wewe acha ufala.. mtoto anakiuno kilaini unakiachaje kwa mfano?
 
Ila watu wa dsm hamuenjoy kutiana kama watu wa mikoani. Labda wale walio matawi. Yaani majoto khaaaa! Majashoooo! Noma sana.
 
Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa.

Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana.

Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo naomba mpunguze kutusogezea, sisi wengine ni maji mara moja maharage ya mbeya ukitusogezea mzigo mnara unasoma 5G hapohapo hata bila kupenda.

Swali langu ni je hivi kuwa hamuhisi kuna kitu kigumu kinakugusa? Je huwa mnakua comfortable?

Binafsi huwa nakua sipo comfortable kumgusa mwanamke nikiwa katika hali hiyo ya 5G hali yakua hatuna uhusiano wowote , leo hali hii nimekutana nayo kwenye Daladala nimejitahidi sana kukwepa na kusogea nyuma ila Mwana Dada aliekua mbele yangu alikua anajiachia sana na kurudi nyuma kila ninaposogea nyuma.

Hivyo tafadhali naomba mpunguze kutusogezea, kuna watu wengine koki mbovu mtakuja kuloana.
Umesahau picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom