Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,420 Reaction score 92,254 Mar 23, 2025 #41 Mbaga Jr said: Kupata sehemu tena kwa mtu baki ety ukae ww na wanao wawili tena kwa miezi mitatu huo ni uongo aisee, tumia akili kwa mara nyingine tena mkuu Click to expand... Kuna watu wanauwezo mkuu,wa kutulea wanajf wote....siye kinakajamba nani tutulie
Mbaga Jr said: Kupata sehemu tena kwa mtu baki ety ukae ww na wanao wawili tena kwa miezi mitatu huo ni uongo aisee, tumia akili kwa mara nyingine tena mkuu Click to expand... Kuna watu wanauwezo mkuu,wa kutulea wanajf wote....siye kinakajamba nani tutulie
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,628 Reaction score 133,305 Mar 23, 2025 #42 Joanah said: Tunaendelea kupata fundisho kupitia JF na maisha kwa ujumla Zaeni mkiwa na uwezo wa kutunza watoto wenu tofauti na hapo sisiemu wataendelea kulaumiwa bure Click to expand... Nakumbuka kuna mada humu, jamaa anashukuru JPM kufa mana alisababisha mpaka kuachwa na mke wake kisa kufukuzwa kazi kwa cheti feki 😂
Joanah said: Tunaendelea kupata fundisho kupitia JF na maisha kwa ujumla Zaeni mkiwa na uwezo wa kutunza watoto wenu tofauti na hapo sisiemu wataendelea kulaumiwa bure Click to expand... Nakumbuka kuna mada humu, jamaa anashukuru JPM kufa mana alisababisha mpaka kuachwa na mke wake kisa kufukuzwa kazi kwa cheti feki 😂
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,628 Reaction score 133,305 Mar 23, 2025 #43 To yeye said: Kuna watu wanauwezo mkuu,wa kutulea wanajf wote....siye kinakajamba nani tutulie Click to expand... Dah n kweli Mkuu, tuendelee kuwaombea hao wenye uwezo waendelee kubarikiwa zaidi.
To yeye said: Kuna watu wanauwezo mkuu,wa kutulea wanajf wote....siye kinakajamba nani tutulie Click to expand... Dah n kweli Mkuu, tuendelee kuwaombea hao wenye uwezo waendelee kubarikiwa zaidi.
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,420 Reaction score 92,254 Mar 23, 2025 #44 Mbaga Jr said: Dah n kweli Mkuu, tuendelee kuwaombea hao wenye uwezo waendelee kubarikiwa zaidi. Click to expand... Hakika hakika
Mbaga Jr said: Dah n kweli Mkuu, tuendelee kuwaombea hao wenye uwezo waendelee kubarikiwa zaidi. Click to expand... Hakika hakika