Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,497
- 5,981
- Thread starter
-
- #21
Madama Kasie. Ukikosa moja hukosi na 2. Wakati mwingine na maoni ya watu huwa mchango mkubwa wa kuchukua maamzi. Binafsi, siamini katika mtu kumbebesha majukumu. Unafight na hili, likigoma unaattack lingine, na mwisho wa siku, kutoboa lazima.Huna dada...!!?
Mama, baba yako?
Shangazi yako au mama mdogo?
Bibi na babu hawa wawe wa mwisho.
Kuliko mtu asiyekufahamu akuhifadhi kwa miezi 3 borq hao ndugu zako wa damu na masimango juu hawatakukula ukakwisha.
Acha watoto kwa hao ndugu mmoja wapo wote kwa pamoja, nenda kasake tonge uwe unakuja kuwaona wanao kila wiki. Miezi mitatu ikifika uwe na kwako kwa kudumu uendelee kulea wanao.
Single faza wapo wengi sana, nina mshkaji wangu kamlea binti yake tangu akiwa na miaka miwili sasa hivi yupo darasa la 7 ana miaka 13 kama sikosei. mama mtoto alikua mtu wa bata sana sasa hivi hatujui yuko wapi na hajawahi hata kupiga simu kuulizia kuhusu mwanae.Duuh pole mkuu kwa changamoto yako sijawahi kusikia single faza analalamika ndo kwanza nasikia kwako.
Anyway pambana tu mzee
Hapana. Kwanza hapa ni kama tupo sebuleni. Mi ni binadamu, si mkamilifu. Na huenda naloliona tatizo, kwa wenzangu ikawa tofauti. Na ndo maana ya majibu yenu, yapo ya ushali na mengine yamekaa kiaina. Sema tu, ile kwamba ungefanya hivi na hivi, pengine wazo langu lisiwe solution, ila nina imani katika maoni ya wengi ntapata muongozo. Kama wapo kina mama wanalea, wengine watoto zaidi ya kwangu, na wanachokipata ni chini ya nachokipata mimi, si huenda akatokea mtu, akanipa muongozo tena ukanifaa!? Msiufunge tafadhali.Jibu na maamuzi unayo hapa, uzi ufungwe.
Mkuu unapatikana wapi?Mkuu, umenena vema kwenye comment yako hapo juu. Unadhani, niliweza walipokua na mwaka mmoja, leo wamefikisha 3 ndo nifeli? Yaani wakose mama, wakose baba? Sijazaa mtu anilelee, japo labda bahati mbaya ni kuzaa na mtu asie na upendo, hata hao ndugu huenda nilichukua maamzi hayo kuepusha hizo lawama. Stranger ni binadamu kama wengine, kwa kidogo nikipatacho hata nikienda Kibiti watakua tu. Mzigo wangu, ntakomaa nao mkuu.
Nipo Tabata mkuuMkuu unapatikana wapi?
Nimekujibu pmNipo Tabata mkuu
Kwamba ukiwa na uwezo maisha hayawezi kuyumba ukarudi chini na kukosa uwezo?Tunaendelea kupata fundisho kupitia JF na maisha kwa ujumla
Zaeni mkiwa na uwezo wa kutunza watoto wenu tofauti na hapo sisiemu wataendelea kulaumiwa bure
Kwamba ukiwa na uwezo maisha hayawezi kuyumba ukarudi chini na kukosa uwezo?
Kwamba usipoyaandika ndo mtu mwenye uwezo hawezi kupata changamoto na kukosa uwezoKwamba mimi nimeandika hayo uliyoandika?
Afrika tunazaa experience ,kule Japan wameacha Kutokana na maisha ya sasa; ugumu wa malezi hasa kipat ,kufanya kazi ,kukosa muda wa kutunza familia.Tunaendelea kupata fundisho kupitia JF na maisha kwa ujumla
Zaeni mkiwa na uwezo wa kutunza watoto wenu tofauti na hapo sisiemu wataendelea kulaumiwa bure
Afrika tunazaa experience ,kule Japan wameacha Kutokana na maisha ya sasa; ugumu wa malezi hasa kipat ,kufanya kazi ,kukosa muda wa kutunza familia.
😂😂Haifanyi kazi kwa sasa ,maisha yanasumbua sana ...Wale vijana watatu waliojinyonga kule Mbeya ,wote wana watoto..Maisha yamekuwa magumu sana..Huku wanakwambia kila mtoto anakuja na sahani yake
Wala,Haya single maza sasa hivi dawa ya hawa viumbe ni kuwaachia watoto walee wenyewe..!! Hii kuwasaidia kulea watoto matokeo yake yanakuja huku kutukana single maza.
Na wewe single faza pole komaa tu mkuu, ni watoto wako hao.. !!
Hapo kazi ipoDaycare uwiano wa gharama na matunzo kwa kweli vimechengana. Kuhusu kuwatafutia, nina kazi nayoifanya nikiwa home. Changamoto tu ni ile kukauka kabla ya tarehe.
Umenielewa vibaya mkuu. Japo sipo vibaya kihivo,kiasi cha kutegemea mtu na wanangu, ninaingiza chochote.Kupata sehemu tena kwa mtu baki ety ukae ww na wanao wawili tena kwa miezi mitatu huo ni uongo aisee, tumia akili kwa mara nyingine tena mkuu
Hakika, inaumiza sanaTunaendelea kupata fundisho kupitia JF na maisha kwa ujumla
Zaeni mkiwa na uwezo wa kutunza watoto wenu tofauti na hapo sisiemu wataendelea kulaumiwa bure