Bro, asante,ila omba lisikukute. Na siku zote unanyenyekea usiteleze, unakutana na janga tu.Pole sana mkuu
Mama yao hao watoto yuko wapi!?Bro, asante,ila omba lisikukute. Na siku zote unanyenyekea usiteleze, unakutana na janga tu.
Kawaida mbona. Kuna siku inatokea nati inalegea kidogo. Ila kulea, mwanaume,lisikie kwa mwenzio.Vyuma vimekaza pole sana
Tupo na sisi ndugu! Sema tu ni kama hivi unajikuta wiki inakata, usingizi hakuna, unakuwa huelewielewi. Wengine huhangaika kutuma tu matumizi, mengine wanakausha. Ila sasa, wale ambao ni kama single mother, kila kitu wewe tuuu, ni style hiyoDuuh pole mkuu kwa changamoto yako sijawahi kusikia single faza analalamika ndo kwanza nasikia kwako.
Anyway pambana tu mzee
Si unajua mambo yakienda ndivyo sivyo! Wenzetu hutafuta palipo na unafuu. Ila nakomaa mkuu.Mama yao hao watoto yuko wapi!?
Sawasawa una watoto wangapi?Si unajua mambo yakienda ndivyo sivyo! Wenzetu hutafuta palipo na unafuu. Ila nakomaa mkuu.
Wawili(mapacha, wa kike na wa kiume, miaka 3)Sawasawa una watoto wangapi?
Asante. Uwezo unaoongelea ni upi? Maisha ni kupanda na kushuka, hakuna cha ajabuTunaendelea kupata fundisho kupitia JF na maisha kwa ujumla
Zaeni mkiwa na uwezo wa kutunza watoto wenu tofauti na hapo sisiemu wataendelea kulaumiwa bure
Hapo unalea na kuenda kuwatafutiaKawaida mbona. Kuna siku inatokea nati inalegea kidogo. Ila kulea, mwanaume,lisikie kwa mwenzio.
Daycare uwiano wa gharama na matunzo kwa kweli vimechengana. Kuhusu kuwatafutia, nina kazi nayoifanya nikiwa home. Changamoto tu ni ile kukauka kabla ya tarehe.Hapo unalea na kuenda kuwatafutia
Wapo daycare?!
Licha ya uwezo pia ni vyema mkakubaliana kuzaa. Haya mambo ya kutiana tu mimba bila mipango wala ndoa ndio mwanzo wa single parenting kitu ambacho kinamuuza mtoto ambaye ana haki ya kupata malezi ya baba na mama vilevile hakuwalazimisha mumzaeTunaendelea kupata fundisho kupitia JF na maisha kwa ujumla
Zaeni mkiwa na uwezo wa kutunza watoto wenu tofauti na hapo sisiemu wataendelea kulaumiwa bure
Mkuu, umenena vema kwenye comment yako hapo juu. Unadhani, niliweza walipokua na mwaka mmoja, leo wamefikisha 3 ndo nifeli? Yaani wakose mama, wakose baba? Sijazaa mtu anilelee, japo labda bahati mbaya ni kuzaa na mtu asie na upendo, hata hao ndugu huenda nilichukua maamzi hayo kuepusha hizo lawama. Stranger ni binadamu kama wengine, kwa kidogo nikipatacho hata nikienda Kibiti watakua tu. Mzigo wangu, ntakomaa nao mkuu.Peleka watoto kwa ndugu yako mwenye makazi rasmi wakati ukiangalia mipango mingine. Maisha ya mjini kumpa hifadhi stranger ni ngumu
Mkuu, umenena vema kwenye comment yako hapo juu. Unadhani, niliweza walipokua na mwaka mmoja, leo wamefikisha 3 ndo nifeli? Yaani wakose mama, wakose baba? Sijazaa mtu anilelee, japo labda bahati mbaya ni kuzaa na mtu asie na upendo, hata hao ndugu huenda nilichukua maamzi hayo kuepusha hizo lawama. Stranger ni binadamu kama wengine, kwa kidogo nikipatacho hata nikienda Kibiti watakua tu. Mzigo wangu, ntakomaa nao mkuu.