mandingo6262
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 424
- 82
- Thread starter
-
- #21
nilikuwa nasoma kwa uchu sana nione malengo ambayo mlipangiana!
At the end naona wote tu mko after kugegedana na kutumiana pesa....
Ulimzoeza pesa sana toka mnaanza kupeana lifti....
Mwanamke umleavyo, ndivyo akuavyo!
aisee wanawake tunatofautiana sana. Nakumbuka wakati niko chuo, sikuwahi kumuomba boyfriend wangu hela hata siku moja mpaka mwenyewe atakapoamua kunipa! One day kaja kuntembelea nilikuwa nimeuawa ile mbaya, nilitamani sana kumwambia walau anikopeshe (sio anipe) lakini nilishindwa, loh!sitosahau! Hadi leo, siombi hadi nipewe nisipopewa poa tu, ninacho cha kwangu! Mungu amsaidie by baby boy aje apate mke/mchumba mwenye tabia kama yangu ya u non-ombaomba :amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen:
kweli aisee ngoja nikaushewe enelea kuchuna, atakutafuta mwenyewe.
Kuoa siku hizi unatakiwa uwe makini
Mapenz ya sasa hivi ni ya KUNYATIAANA baba...ishi kimachale ndg lasivo utavaa yeboyebo town
ingekuwa hivyo matajiri wangekuwa hawaoi maskini au maskini kuoa tajiri maana hata wao wakipatana kwa mtizamo wako utasema wanatumia uwezo wao vibaya. Na isitoshe sijamtongoza kwa sababu kaniomba hela ila kuniomba hela kumefuata baada ya kumtongoza.
^^
Kuna wanawake wa kuchezea,
Kuna wanawake wa kuoa,
Soma dalili zao, uijue tofauti.
^^
Mapenz ya sasa hivi ni ya KUNYATIAANA baba...ishi kimachale ndg lasivo utavaa yeboyebo town
Aisee wanawake tunatofautiana sana. Nakumbuka wakati niko chuo, sikuwahi kumuomba boyfriend wangu hela hata siku moja mpaka mwenyewe atakapoamua kunipa! One day kaja kuntembelea nilikuwa nimeuawa ile mbaya, nilitamani sana kumwambia walau ANIKOPESHE (sio anipe) lakini nilishindwa, loh!sitosahau! Hadi leo, siombi hadi nipewe nisipopewa poa tu, ninacho cha kwangu! Mungu amsaidie by baby boy aje apate mke/mchumba mwenye tabia kama yangu ya u non-ombaomba :amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen:
Safi sana..hauna mdogo wako mkuu? hii mbegu nzuri.
mama yani we na mimi tukikaa pamoja tunaendana sana mi nashangaa hua wanawapata wapi sielewi yani.Aisee wanawake tunatofautiana sana. Nakumbuka wakati niko chuo, sikuwahi kumuomba boyfriend wangu hela hata siku moja mpaka mwenyewe atakapoamua kunipa! One day kaja kuntembelea nilikuwa nimeuawa ile mbaya, nilitamani sana kumwambia walau ANIKOPESHE (sio anipe) lakini nilishindwa, loh!sitosahau! Hadi leo, siombi hadi nipewe nisipopewa poa tu, ninacho cha kwangu! Mungu amsaidie by baby boy aje apate mke/mchumba mwenye tabia kama yangu ya u non-ombaomba :amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen:
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat! Well what can i say?:A S embarassed:
Anyway the girl is an AMATEUR! Sawa anachuna but she has NO GAME, CLASS, STYLE, SKILLS, TALENT! NADAAAAAAA! She is a DISGRACE to WACHUNAJI SOCIETY!
Kumbe we ni Ke????hahhhahhhhaha