Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Bible hairuhusu mwanaume kuchepuka ila ni nature ya mwanaume yoyote yule japo katika uchepukaji tunatofautiana wengine kwa kificho na wengine kwa kujiachia na hi isikufanye wewe ukate tamaa ya kuolewaHawawezi kukujibu hilo,watajikanyaga sasahivi watahamia kwenye bilble,mara ni muhimu....sasahivi atatokea mtu atajibu hivyo....huwa sielewi maisha ya mwingine yamsumbuaje mtu,kila mtu ana priorities zake na maamuzi yake,wao wanaona ndoa ndio kila kitu well and good waendelee kuenjoy,meanwhile wengine tuendelee na maisha
Imekugusa...!?
Mimi sipendi mtu aniquote akiwa amekurupuka,ni bora upite kimya kimya....wapi nimesema nimekata tamaa?hebu soma vizuri comments zangu....labda nirudie tena,nimesema bado nipo nipo ikifika wakati nipo tayari ntaolewa kama nilipangiwa kuolewa kupo tu,lakini msitupangie mda wa kuolewa kama mleta mada anavyosema hapaBible hairuhusu mwanaume kuchepuka ila ni nature ya mwanaume yoyote yule japo katika uchepukaji tunatofautiana wengine kwa kificho na wengine kwa kujiachia na hi isikufanye wewe ukate tamaa ya kuolewa
Miaka 21 sijui hata kama chuo kamaliza..siozi mwanafunzi(degree kushuka chini)..Hapo maamuzi ni yangu..Ila baada ya hapo naweza kumwacha ajimwayemwaye..Sitamlazimisha mtu kuolewa..Ila nikiona giza linaingia bado yupoyupo tu naweza kuhoji..Uenda anahitaji msaadaKwahio umri gani itafaa aolewe,wewe kama baba,na 21 udogo wake ni nini wakati kashapevuka inavyotakiwa,huoni wenzio wanalilia wanawake wawahi kuolewa 21-22 waolewe,ndio nakuuliza wewe ukiwa baba mwanao at 21 utamruhusu simply sababu wanaume ni wachache?
Umejibu vizuri sana,sasa iweje mnashupaa na watoto wa wenzenu au mmesahau na nyie wenu wanakua soon?Miaka 21 sijui hata kama chuo kamaliza..siozi mwanafunzi(degree kushuka chini)..Hapo maamuzi ni yangu..Ila baada ya hapo naweza kumwacha ajimwayemwaye..Sitamlazimisha mtu kuolewa..Ila nikiona giza linaingia bado yupoyupo tu naweza kuhoji..Uenda anahitaji msaada
Dunia imepambwa na milima, mito, bahari, visiwa, misitu n.k.Time will tell,ngoja tuone...jamani kuna wanawake wameumbwa kuipamba dunia tu sio wote wakuolewa!
Hatuwashupalii..Sema tunawakumbusha mjitathimini upya..Vigezo ulivyoviweka sasa baada ya miaka kadhaa utavisimamia hivyo hivyo?..Utakuta mtu analeta nyodo kwa wanaume ukimuuliza sababu jibu atakalokupa utabaki unashangaa..Halafu keshokutwa mtu anaanza kujihisi ana mkosi kisa haolewi..Anasahau nafasi alizozichezea huko nyumaUmejibu vizuri sana,sasa iweje mnashupaa na watoto wa wenzenu au mmesahau na nyie wenu wanakua soon?
Mara utasikia wanalalamika humu, "mke wangu anajamba sana nimeshindwa!! "Mimi sio mhanga Nina life yangu na sina mpango wa kuoa coz sio lazima. And nobody has right to tell me what to do in my life.
Why watu wakishaingia kwenye NDOA ghafla wanakuwa specialist wa wa NDOA!? Halafu ghafla wanakuja na Uzi ooh huyu mwanamke nimeshindwa au huyu mwanaume hyu simuwezi. Tulieni kwenye NDOA zenu mfanye yenu mshughulike na shida zenu huko
Kwani mwanamke lazima aolewe akiwa na umri mdogo kuliko mumewe? waacheni wanawake wajipange na maisha ndiyo waolewe mwanaume anaweza akaumwa, akapata ajari, akafukuzwa kazi au akafa familia itaishije kama inamtegemea mtu mmoja. Kuwaza ndoa za zamani kwenye maisha ya leo ni akiri finyu lazima mwanamke ajipange sawa na mwanaume ili wajenge familia
Mleta mada anasema kuolewa ni bahati, sio kweli. mwanamke mwenye akiri na hekima ni yule mwenye malengo na mipango juu ya maisha yake. Ndoa hupangwa na inapangwa kwasababu inamajukumu sio yale mambo ya zamani kuwa mwanamke akiolewa anaenda kusubiri mume alete yeye apike. Mwanamke lazima ajipange kiuchumi kwanza. Sasa chini ya miaka 25 kajipanga lini? Au ndiyo zile ndoa za ugoli kipa zimepitwa na wakati hizo bro.
Sema labda kama umepanic ila sijamaanisha wewe.. ila hiyo wewe imetumika kwa vile unawakilisha kundi la wanawake na huu ni mjadala tu mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi yakeMimi sipendi mtu aniquote akiwa amekurupuka,ni bora upite kimya kimya....wapi nimesema nimekata tamaa?hebu soma vizuri comments zangu....labda nirudie tena,nimesema bado nipo nipo ikifika wakati nipo tayari ntaolewa kama nilipangiwa kuolewa kupo tu,lakini msitupangie mda wa kuolewa kama mleta mada anavyosema hapa
teh,usijikanyage,ungeweza kueleza toka mwanzo ungetumia hata mfano wa Dada yako,mimi nikipanic huwa sichangii mada napita mbaliii...Sema labda kama umepanic ila sijamaanisha wewe.. ila hiyo wewe imetumika kwa vile unawakilisha kundi la wanawake na huu ni mjadala tu mwisho wa siku kila mtu ana maamuzi yake
Mnatukumbusha tujitathmini nyiee kama kina nanii katika maisha yetu,teh mbona mmeshupaa hivyo..wewe una mambo mengi ya kujikumbusha mwenyewe, sumbuka na yako...Hatuwashupalii..Sema tunawakumbusha mjitathimini upya..Vigezo ulivyoviweka sasa baada ya miaka kadhaa utavisimamia hivyo hivyo?..Utakuta mtu analeta nyodo kwa wanaume ukimuuliza sababu jibu atakalokupa utabaki unashangaa..Halafu keshokutwa mtu anaanza kujihisi ana mkosi kisa haolewi..Anasahau nafasi alizozichezea huko nyuma
Basi Sawa kiroho safi..teh,usijikanyage,ungeweza kueleza toka mwanzo ungetumia hata mfano wa Dada yako,mimi nikipanic huwa sichangii mada napita mbaliii...