KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,314
Umuhimu wa bikra ndo huo. Aliyeiwekaga hakua mjinga.
We jamaa pumba kabisa. Sasa hapo unataka ushsuri gani?
Mapenzi ya utotoni shida kweli ndio maana tunashsuriws kila siku mapenzi tusubiri ukubwani.
Kwanza umeanza vibaya eti anakupenda kweli sasa ona ulivyo boya( samahani nina hasira). Anakupenda huku anagongwa hadi wewe mwenyewe umejua?
Kitu kingine usipende kusikiliza story za x wa mke/ mpenzi wako za nini, zunahusu nini na mapenzi mapya? Au ndio kusema bado anampenda au ndio anakulingishia wewe mpenzi mpya? Mimi sitakagi kusijia huo ujinga
hawa ni kuwaacha tu.maana ni nouma.wangu wa miaka mitatu alisema tuachane coz Mungu hajapanga tuwe p1 eti na eti nina character tofauti na yeye.3 years!..Ndo anaona hivyo vyote.ila issue ni kwamba alimpata mwingine akaona sifai.Huwa wanaongozwa na hisia hawa viumbe.wewe mteme tu.

kivp mkuu #kakajambazi
ni hasira mkuu